Msaada: Aina za sub meter (Unit counter)

Msaada: Aina za sub meter (Unit counter)

McMahoon

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2017
Posts
1,360
Reaction score
1,644
Naomba kujua aina za sub meter na bei zake.
Nilimuuliza jamaa mmoja hivi, akadai kuna submeter aina moja tu inayohesabu tu na haina button

2233022_IMG_20191012_165636.jpeg

Ktk kugoogle naambiwa zipo za button
Je, hizo za button zinapatikana, na wapi naweza kupata? Na bei yake ikoje?

2232709_IMG_5248.jpg
 
Bei yake mara ya mwisho ilikuwa laki na 30 ila sasa ivi zimeshuka bei.nasikia mpaka kwenye 100,000/= unaweza pata.zinapatikana kariakoo kwenye maduka ya umeme karibu na soko kuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom