Kanda uso wako na maji ya moto kila asubuhi na usiku kabla ya kulala.
mmmh sidhani...ila unashauriwa utumie maji ya uvuguvugu au baridi kusafisha uso, kwa sababu uso wako una mafuta ukisafisha na maji ya moto inasababisha kuziba kwa pores hivyo kuzalisha pimples zaidi...kama hutajali jaribu kupitia hii website www.oriflame.com, hawa jamaa wana products nzuri sana...ukivutiwa niPM nikuelekeze namna ya kuzipata
Pia ushauri alioutoa bht utakusaidia
yeah wa kwetu oriflame pia wana products nzuri sana for everyone and all skin types.