RO7 ZA MGOS
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 2,349
- 6,783
Dns.adsguard.com
Nzuri tu mkuuMkuu za masiku nyingi
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
ndio hvyo yaani. Au nasema uongo mdau?😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kila kitu nimeweka sawa mkuu, nikisave tu internet inakata.Umeeka kama private dns? Hujakpsea spelling?
Jaribu kucheki dns nyengine mkuu, concept hio hio.Kila kitu nimeweka sawa mkuu, nikisave tu internet inakata.
TumiaWakuu kama kichwa habari kinavyojieleza.
Simu yangu kwasasa ni mwendo wa matangazo ya 1x bet, mara magame naamua kujipumzishia zangu fuvu niingie JF matangazo yanaibuka Data ya mawazo ni mwendo wa kuisha tu GB 1.4 siku moja tu imekata msaada tafadhari simu yangu ni Infinix hot 10i sikumbuki niligusa wapi chanzo cha hilo tatizo.