Alison Mremi
Member
- Mar 30, 2011
- 21
- 4
Ni matumaini yangu kuwa wana JF wote ni wazima! Kiukwel wakuu huwa natamani sana kujifunza na kuijua sana Adobe photoshop! huwa naona wivu sana pale napoona baadhi ya picha zikiwa zimefanyiwa mautundu! Mara nyani kavaa miwani mara kichwa cha mtu kimevalishwa mwili wa nyani nk! Huwa natamani sana kujifunza lakini cjui hta pa kuanzia japo nna hyo program kwenye Pc yangu! Mdau yeyote ambaye ana ufahamu na hii, plz help me!