Jerry Jerry
Member
- Jul 31, 2013
- 40
- 0
Jamani kwa anayejua kuhusu upatikanaji wa admission letter kwa chuo cha NIT anijuze ili nami niipate
Jamani kwa anayejua kuhusu upatikanaji wa admission letter kwa chuo cha NIT anijuze ili nami niipate
Zinapatikana chuoni kwao pale mabibo. kama upo nje ya dsm wewe download joining instruction na fomu zinginezo kisha zijaze halafu wakati wa kuja kuripoti chuoni utachukua hiyo admission letter ili ukamilisha nyaraka.