Msaada; admission letter udsm

Al_maktum

Member
Jul 26, 2020
31
24
Habari zenu.

Kwa waliopata admission letter, tunaomba watueleze maana wengi wetu account zetu hazioneshi namna ya kupata hiyo joining.hata kwenye hiyo selection status hakuna maelekezo, help desk pia haipokelewi.

Screenshot_20201030-172127.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Ngoja waje waliokwisha zipata ....but hongera kujiunga na chuo
 
Ndo uache kuandika maneno kama hilo kk ...x unaenda kuwa msomi
 
Habari zenu.

Kwa waliopata admission letter, tunaomba watueleze maana wengi wetu account zetu hazioneshi namna ya kupata hiyo joining.hata kwenye hiyo selection status hakuna maelekezo, help desk pia haipokelewi.

View attachment 1616040

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu,
Kuwa mvumilivu.. As long as umeshakuwa admitted na umeconfirm basi ngojea vyote vitatumwa kwenye account yako

Form zote nne nadhani utatumiwa
 
Back
Top Bottom