Wadau kama miezi nane iliyopita nimenunua laptop aina ya ACER ASPIRE E1-531 sasa tatizo lake ni aitaki ku install window 8 nimejaribu mara kadha wa kadha kama kwa kutumia USB, DVD na kote inagoma yani inasema kuna error 0x000001 baada ya kupitia step zote za instolation ndo inasema izo error kama kunamtu amekutana na tatizo kama hilo nahitaji msaada wake