Kwa wanaofahamu Wi-Fi naomba msaada

dexterous

JF-Expert Member
Feb 26, 2014
2,037
3,132
Habari wakuu

Naomba msaada wa maelekezo. Nimenunua Huawei E5330 mobile WIFI.
NImeweza ku connect kupitia laptop yangu na wifi inakuwa connected vizuri tu lakini Tatizo linakuja ukitaka kuperuzi/access internet inagoma kabisa.
Nimejaribu ku ran windows diagnostic test inaniambia " the DNS isnt responding"..
Ila kupitia simu inaweza kuconnect bila tatizo lolote .

Naomba msaada wanamna naweza kufanikiwa kutatua hilo tatizo ili niweze ku access kwenye laptop

Asanteni.
 
Jaribu kuTurn off firewall mkuu
 
Back
Top Bottom