Msaada: Access Point Name.

Msaada: Access Point Name.

Konzogwe

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2008
Posts
434
Reaction score
164
Salamu wakuu!
Natumia device Android tablet pc. Nimenunua modem ya tigo ambayo ni compatible na pc yangu. Nimeshaunganisha modem na ile symbol ya 3G connection inaonekana ila sina hakika na APN settings nilizofanya, nikifungua browser inaandika "connection problem, authentification via the proxy server was unsuccessful". Naomben msaada kuhusu hili
 
mkuu kwa tz apn ya internet inafanya kazi mitandao yote.

pia possibly hio apn yako ina proxy nakushauri tengeneza mpya kabisa kila kitu acha kama kilivyo kasoro connection name na apn tu ndo jaza.
 
Back
Top Bottom