Msaada: A Good reliable ISP | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada: A Good reliable ISP

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Endangered, Aug 24, 2012.

 1. Endangered

  Endangered JF-Expert Member

  #1
  Aug 24, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 929
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Wakuu hali zenu,

  Hivi A-town, kuna ISP gani ambaye ana nguvu? meaning that connection yake inaweza kutegemewa na yenye spidi nzuri.
  For the meantime, kuna kampuni tunaitumia inaitwa Arusha Art Limited.

  Connection
  Lakini sipati ladha kamili (direct download sipati more than 200 kb/s), na kwa torrents sipati more than 400 kb/s.
  kwa mujibu wa speedtest.net, download speed ni 0.21Mb/s while upload ni 0.07Mb/s
  mara ya pili download 0.16Mb/s while upload ni 0.21Mb/s, na mara ya tatu imenipa 0.19Mb/s kwa 0.18Mb/s

  Malipo
  Tunalipa 150$ kwa mwezi, na hii ni kwa miezi mitatu mitatu, 450$ ongeza na VAT.

  Hivi kuna better option ama this is what Arusha has to offer.
  Hii ndo Radio yao.

  Tower.jpg
  Natanguliza shukran.
   
 2. vipik2

  vipik2 JF-Expert Member

  #2
  Aug 24, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,175
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Subiri hapo hapo wenyewe waje
   
 3. Firewall

  Firewall JF-Expert Member

  #3
  Aug 24, 2012
  Joined: Aug 18, 2012
  Messages: 266
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Me sikai arusha ila kwa hiyo speed na bei, mh mnaibiwa asee
   
 4. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #4
  Aug 24, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,813
  Likes Received: 7,149
  Trophy Points: 280
  nimeangalia bei za isp wako dola 800 ndo unapata 1mbps si bora na we uwe isp

  kwa dola 150 unaweza ukawa na alternative hizi

  Nduki gold- 200,000 speed 2mbps per second

  pia unaweza fanya alternative ya hii mitandao yetu kwa kuchukua vifurushi kama tigo max, vodacom speed vinaweza kupa speed kubwa
   
 5. Endangered

  Endangered JF-Expert Member

  #5
  Aug 24, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 929
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Nashkuru Chief, yaani hapa natafuta mbinu za kujustify kwamba hawa hawatufai (hawanifai) maana teknohama is into my way to not escape it. Youtube, divshare uploads, yet kuna downloads for fun. yaani hamna raha kivile - japo kuna watu wakifika hapa wanajidai kuishangaa hii spidi. (kwamba nio nzuri na wanachek youtube videos b ila shida.)

  Hao Nduki Gold sio masuala ya promosheni kweli? maana ninachotaka ni kuishawishi ofisi ihamie kwingine. hizi tigo max na voda sina uhakika saana, naona kama imekaa ki-personal zaidi na si for corporate use, also unlimited.
   
 6. Endangered

  Endangered JF-Expert Member

  #6
  Aug 24, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 929
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Aisee unantia machungu tu mkuu. vipi, una alternatives?
   
 7. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #7
  Aug 24, 2012
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,668
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Nenda ttcl upate broadband yao. Ni chiboko kweli kweli! kwingine utabaki na maumivu ya kulia lia kila siku
   
 8. Endangered

  Endangered JF-Expert Member

  #8
  Aug 25, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 929
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  mkuu shukran. Hv hiyo broadband ni unlimited? Na kwa small office km watu 15. Inaweza kutubeba bila shida? Especially when 3 of 15 ni download maniacs.Cost yao ikoje?
   
 9. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #9
  Aug 25, 2012
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,668
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Sina hakika vizuri na bei zao zote ila mimi nina subscribe bundle ya 2gb monthly kwa sh. 30,000 na kwa kweli ni uamuzi wa mtu kununua sawasawa na matumizi yako mwenyewe.
  Kwa unlimited bundle nimesikia wengi wakilalamikia speed yake kwa hiyo siwezi kuisemea lolote. Lakini kama kaofisi ni kakubwa chukueni kabundle ka kama 20gb hivi. Mtakula maraha wenzetu.
  Nakushauri tembelea ofisi zao wakupe maelekezo zaidi! Good luck
   
 10. Endangered

  Endangered JF-Expert Member

  #10
  Aug 25, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 929
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Shukran mkuu, nitawawtembelea niwasikie. Hako ka 20GB kananifaa mimi tu peke yangu, kwa siku mbili nitazikata. goja wataniambia nikifika kwao, afu nitakufahamisha. Raha yangu na Internet ni Down and Uploading. 1080p. lol!
   
Loading...