seph0408
JF-Expert Member
- Aug 26, 2011
- 1,180
- 703
Sasa kama MTU anataka alipwe say, 20,000. Na hapo kodi natakiwa ni withhold (wth ya 5%), natakiwa kuassume gross figure ya 21,000(20,000+1000)? Au itabidi ni top up kwa style ingine ambayo ikifanywa 5% ,net yake itabaki 20,000?. Mara nyingi huwa na top up kiasi flani, lakini ukienda tra wanakukadiria 5% ya receipted amount