Ndachuwa
JF-Expert Member
- Mar 8, 2006
- 6,268
- 4,585
Withholding tax siyo tozo kwa maana ya kuongezwa kwenye ankara bali ni zuio ya malipo unayomlipa mtoa huduma ili umlipie TRA kama sehemu ya kodi yake ya mapato.Wasalamu..
Kabla ya Kuning'ing'izwa na TRA needs your help.
How do w charge Withholding Tax 5% plus VAT Tax on Services rendered Invoices?
Mfano a Total Invoices in charge ya 100, 000 then do we charge 5 % Withholding Tax before VAT or We Charge VAT first?
Hisabati inahitajika hama na Utalaamu wa Kodi
Vile vile si huduma zote zinatakiwa zuio lifanyike mfano Ulinzi, hotel hazipo kwenye zuio.
Kwa mfano uliotoa wa invoice ya TZS 100,000, in maana kwenye hii laki moja pesa ya mtoa huduma ni TZS 84,746 (TZS 100,000/1.18) na kiasi kilichbaki ni cha TRA kwa maana ya Kodi ya ongezeko la thamani. Wakati wa kulipa hiyo invoice utazuia TZS 4,237.30 (TZS 84,746 X 5%) na mtoa huduma wako atapokea TZS 95,762.20
Kuhusu VAT mtoa huduma atalipa TRA TZS 15,254 kupitia ritani yake ya VAT na wewe mpokea huduma kama umesajili na VAT utapunguza TZS 15,254 kwenye ritani yako ya VAT.
Kwa msaada zaidi pata mawasiliano yetu kwa kutembelea www.vabusiness.co.tz