msaad jamani wa Game

Dio

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
1,274
1,250
wakuu habari za kazi naombeni mwenye llink ambayo naweza kudownload game ya fifa 2010 au need 4speed tafadhali anisaidie nimejaribu ku google inaniletea vitu vya ajabu
 
Munru

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
1,342
2,000
wakuuu mmepata, tuwasiliane mkishindwa kudownload, free, ntawapa game yoyote mnayoitaji Call of duty zote, max payne zote, Fifa zote, wakuu ni nyie tu

kama unaweza download mwenyewe bofya hapa
Download Games-PC Games-Full Version Games: Games List
ukishindwa waweza nicheki, ntakutumia namba yangu then itakuwa kazi kwako kuja na flash yenye kuanzia GB 5,
Ha ha ha ipo BATTLE FIELD BAD company pia, medal of honour
 
asante mkuu kwa msaada wako ntaleta jibu nikifanikiwa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom