Msaaada wa mawazo ndungu zangu.

kaaa

Member
Oct 9, 2011
35
4
Nimepigiwa simu na watu wa recruitment service wapo mwenge karibu na sheli moja vipi.Eti wameniambia nipeleke cv zangu jumatatu.Najiuliza wameipata wapi namba yangu?wanataka kuniuliza nini?maana mimi sijawahi hata kuomba kazi kwao?hawajaniambia nimeomba post gani na katika kampuni gani?Sio matapeli kweli?Msaada wajemeni:)
 
zilakina

JF-Expert Member
Sep 16, 2011
293
77
Mhh...,we nenda kawasikilize halafu waulize maswali yako yote kwani waswahili wanasema kubali wito....Mungu akutangulia .
 
God bell

JF-Expert Member
May 13, 2011
591
208
Angalia ndugu yangu icjekuta ni wale wachuna ngozi wameingia kwene system nyingine ya udanganyifu wakakutoa roho bure. Kwani ukifikiria kupata kaz kulivyo kugumu halafu unaitiwa kaz tu from no where na wewe hujaomba; ni hatari.
 
Sanga n.

Member
Jun 28, 2011
51
11
Nimepigiwa simu na watu wa recruitment service wapo mwenge karibu na sheli moja vipi.Eti wameniambia nipeleke cv zangu jumatatu.Najiuliza wameipata wapi namba yangu?wanataka kuniuliza nini?maana mimi sijawahi hata kuomba kazi kwao?hawajaniambia nimeomba post gani na katika kampuni gani?Sio matapeli kweli?Msaada wajemeni:)

We nenda na hiyo CV ila wakikwambia uwape pesa hata 100 kataa.

Lazaid kawaulize maswali utajua km ni matapeli au siyo.
BY DA WAY WAKIKUAMBIA MKAKUTANE VICHOCHORONI KATAA.
ALL THE BEST.
 
Kibanga Ampiga Mkoloni

JF-Expert Member
Aug 9, 2007
18,709
8,802
Ujipange lazima ubebe silaha
Duh magamba bwana mawazo yao yani ni huku tuu!!!!!!
attachment.php
 
Roulette

JF-Expert Member
Dec 15, 2010
5,592
5,337
Nimepigiwa simu na watu wa recruitment service wapo mwenge karibu na sheli moja vipi.Eti wameniambia nipeleke cv zangu jumatatu.Najiuliza wameipata wapi namba yangu?wanataka kuniuliza nini?maana mimi sijawahi hata kuomba kazi kwao?hawajaniambia nimeomba post gani na katika kampuni gani?Sio matapeli kweli?Msaada wajemeni:)
Wapigie uwaulize. kama haupo comfortable usiendi. Ila kumbuka, kama ulitoa CV kwa recruitment service nyingine, huwa wanashare details zako, unless specified otherwise.
 
kaaa

Member
Oct 9, 2011
35
4
Nashukuru sana Ndugu zangu, nimepata mawazo mazuri sana ambayo sikuyategemea. Idumu jamii forums!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
ndyoko

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
4,975
1,639
Ulipowauliza walisemaje? Kwa nini unaenda kama hukuomba kazi. Wanaenda kukutumbukiza kwenye concentrated sulphuric acid, hutabakia hata mfupa, shauri yako we nenda uone.
 
mzee wa njaa

JF-Expert Member
Jun 16, 2011
1,366
222
Acha njaa ya kazi wewe hao matapeli unayajua leo na ukienda huko watakuambia uwape pesa sasa kuwa makini sana. Kataa wala usiende wala nini wengine wanatumia dawa sana kuwaibia watu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom