Msaaada wa magemu kwenye pc

lunatic

Member
Joined
Sep 24, 2016
Posts
63
Reaction score
19
Nifanye nn kwa wale waataalmu wa pc game.... Game nying pc yangu hai. Meet minimum requirements naweza fanya ktu gan ili niweze kuzchezaa na sasa sina pesa ya kununua pc yenye uwezo mkubwaa
 
Huna pesa ya kununua PC yenye uwezo bado unataka kupoteza muda kucheza games!! Tafuta pesa mengine yote utazidishiwa
 
Processor 1. 7GHZ
Ram 2gb

Fifa 2017
Gears of war 5
Battle field ya 2016
1.7 haina maana unatakiwa utaje jina kamili la hio processor, nenda my computer halafu right click then chagua properties kuona jina la hio cpu
 
Processor 1. 7GHZ
Ram 2gb

Fifa 2017
Gears of war 5
Battle field ya 2016
RAM 2 hata video ya porn inaload,leo u.ataka uchezee game?

Processor 1.7GHz duh...hyo pc ni ya kusomea word docx na sio kurun progs
 
1.7 haina maana unatakiwa utaje jina kamili la hio processor, nenda my computer halafu right click then chagua properties kuona jina la hio cpu
Processor intel(R) celeron (R) B820 @1. 7GHz 1. 7GHz
 
Nikitaka kuyacheza hayo mengine niongeze nn hapoo..
ununue laptop mpya, maana hata uki upgrade cpu still zina gpu sawa na hio yako hivyo haitasaidia kwenye hizo games za kisasa.

hapo ongeza ram hadi 4Gb au 8Gb itakusaidia kwenye baadhi ya games
 
Asante sana chief Basi hebu nipe specification za aina gan ya laptop zitanisaidia kwa hz game za kisasaaa.. Mkuuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…