Wernery G Kapinga
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 381
- 131
Mheshimiwa Admin mkuu na wengine wadogowadogo. Tafadhali naomba nije na mada hii.
Walimu wenzangu Wa Kiswahili naomba sana mnisaidie katika nano hili hapa
Wa-ta-ka-o-ku-j-a
Kiambishi *ka* kina dhima gani hapo. Msaada tafadhali
Walimu wenzangu Wa Kiswahili naomba sana mnisaidie katika nano hili hapa
Wa-ta-ka-o-ku-j-a
Kiambishi *ka* kina dhima gani hapo. Msaada tafadhali