Msaaada tafadhali!!!

Shixi889

JF-Expert Member
Jun 1, 2012
338
208
Naombeni msaada wenu wanajf ni kweli kwamba kwa mwanamke/mwanaume kuanzia 28yrs ni ngumu sana kuanzisha mahusiano mapya na mtu mpya maana inakuwa kama kurisk muda wake?
 
Khaa! We si umevunja ungo juzi tu ndo nikakuoa? Hebu njoo pande hii nikulenge, nna hamu.

Babu!
BT, Yuko sahihi na anakiamini anachokisema!
Sanasana kakuumbua, tatizo liko kwako huyu ni mfano wa wale uliowakagua ukiwa una uko bwaksi !
Hivyo punguza ulabu wakati wa makaguzi ! That's why unashindwa ku'recognize their age.
 
Back
Top Bottom