Msaaada kuhusu biashara ya lubricants na spare

jones26

Member
Mar 11, 2017
8
3
Habari wanajamii forum nilikuwa nataka nianze kufanya biashar ya kuuza lubricant na vifaa vidogo dogo vya Magari na piki piki ila sina uzoefu na biashara hii.. Nilikuwa naomba msaada wakujua lubricant zipi ninue ambazo zinaitajika kwa wingi pia spare parts ndogo ndogo Kama bearing, air filter mnaweza niambiwa vifaa gani(used) tena vya kuongezea hapo Nina mtaji wa million 3 biashara naifanyia jijini Mwanza nyegezi. Pia ningepata wauza vifaa hivyi kwa jumla jumla ili niweze zipata nianze biashara
 
Back
Top Bottom