MSAAADA JAMANI KUHUSU FIELD 1st YEAR

JUNK MASTER

Member
Aug 14, 2012
84
18
Wadau naombeni msaada wetu kama kuna field mwaka wa kwanza kwa bachelor of engineering in civil engineering(st. Joseph coet)
 
kwa ninavyojua st joseph wao mwaka wakwanza wote bila kujal ni mtu wa civil,computer eng,tel wote wanasoma kitu kimoja kinaitwa general engineering kama sikosei..sasa hapa ni ngum kwenda field maana bado huja specialize kwenye program yako..kwa wao mwaka wa pili ndo wanaenda fiel labda na wa3...ila mkuu hongera sana na lazima ujivunie kuchaguliwa st joseph,ni sehem nzuri....
 
thanks bro
 
Back
Top Bottom