msaaaaada wapendwaaaa

tonyy

Member
May 4, 2014
27
1
naomba kujua nlini deadline ya kutuma maombi ya ualimu imean grade A na thn procedure za kufuata ilikukamilisha muamala mzimaaa
 
Mwsho wa kuaplai n tar 30 mwez hu wa 5. Na kuaplai kwa njia ya electronc imesitishwa now wanaaplai kwa njia ya posta only mie juz kuna m2 nilienda kumfanyia aplication.
 
Back
Top Bottom