MSAAAAADA JAMANI NINA SIMU AINA YA Mi A300 ANDROID INASEMA NETWORL LOCK

HAFSA1984

Member
Mar 28, 2012
24
3
Ndugu zangu waungwana nina kasimu changu cha tigo wamenipa bure lakini wamekibana natumia laini moja tu nikijaribu kuweka laini ya airtel inasema network lock naitaji maujuzi hapa
 
Ndugu zangu waungwana nina kasimu changu cha tigo wamenipa bure lakini wamekibana natumia laini moja tu nikijaribu kuweka laini ya airtel inasema network lock naitaji maujuzi hapa

kuna mawili unaweza peleka kwa fundi akaiflash ikafanya kazi au lingine ikafa..
 
download ROM then update kwe hiyo simu lakini kabla ujafanya hivyo backup simu yako.
 
Njia tuu ni kuflash kuinstall rom mpya aisaidii kitu so tafuta fundi mmenye uwezo mkubwa
 
Back
Top Bottom