H HAFSA1984 Member Joined Mar 28, 2012 Posts 24 Reaction score 3 Apr 14, 2012 #1 Ndugu zangu waungwana nina kasimu changu cha tigo wamenipa bure lakini wamekibana natumia laini moja tu nikijaribu kuweka laini ya airtel inasema network lock naitaji maujuzi hapa
Ndugu zangu waungwana nina kasimu changu cha tigo wamenipa bure lakini wamekibana natumia laini moja tu nikijaribu kuweka laini ya airtel inasema network lock naitaji maujuzi hapa
ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,585 Apr 15, 2012 #2 HAFSA1984 said: Ndugu zangu waungwana nina kasimu changu cha tigo wamenipa bure lakini wamekibana natumia laini moja tu nikijaribu kuweka laini ya airtel inasema network lock naitaji maujuzi hapa Click to expand... kuna mawili unaweza peleka kwa fundi akaiflash ikafanya kazi au lingine ikafa..
HAFSA1984 said: Ndugu zangu waungwana nina kasimu changu cha tigo wamenipa bure lakini wamekibana natumia laini moja tu nikijaribu kuweka laini ya airtel inasema network lock naitaji maujuzi hapa Click to expand... kuna mawili unaweza peleka kwa fundi akaiflash ikafanya kazi au lingine ikafa..
F fbmimi New Member Joined Jan 16, 2012 Posts 4 Reaction score 0 May 4, 2012 #3 download ROM then update kwe hiyo simu lakini kabla ujafanya hivyo backup simu yako.
utakuja JF-Expert Member Joined Sep 20, 2010 Posts 1,062 Reaction score 995 May 4, 2012 #4 Njia tuu ni kuflash kuinstall rom mpya aisaidii kitu so tafuta fundi mmenye uwezo mkubwa