MS-Word imepotea nitaipataje tena?

MS-Word imepotea nitaipataje tena?

Pastor Achachanda

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2012
Posts
3,023
Reaction score
1,317
Tarakilishi ilinitaka kama nihifadhi kazi au la nikasema kwa bahati mbaya NO. Ilikuwa na kurasa 9. Nitaipataje wadau?
 
Ni toleo lipi la Microsoft Office? kama ni kuanzia 2007 kuja juu huwa ina save automatically baada ya dakika kadhaa. Fungua blank page kwanza. Inaweza kukuprompt ili uweze ku recover hilo faili. Vilevile kama unatumia 2010 waweza kwenda kwenye 'File' tab then click Recent kuangalia recent files. Kama bila bila itakuwa majanga kama sio fundisho mkuu. Pole sana
 
Wataalamu wa kukusaidia hawaingii kwenye jukwaa hili. Peleka thread
jukwaa la Tech Gadgets and Science utawapata wataalamu wengi akina C6 mwl RCT na wengine.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom