MS Excel Invoice Template | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MS Excel Invoice Template

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by MwanaHaki, Sep 17, 2010.

 1. MwanaHaki

  MwanaHaki R I P

  #1
  Sep 17, 2010
  Joined: Oct 17, 2006
  Messages: 2,403
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 145
  Waungwana

  Nina shida ya kupata Microsoft Excel template ambayo ina uwezo wa kuweka bei za bidhaa kwenye worksheet nyingine na kwenye worksheet nyingine, mtu ukiweka code name ya bidhaa fulani, na idadi yake (kutokana na order ya mteja), bei inajumlishwa moja kwa moja.

  Je, wapi naweza kupata template hii?

  Asanteni.

  -> Mwana wa Haki

  P.S. Mwenye kuweza kunisadia anitumie ujumbe PM ili niweze kuwasiliana naye moja kwa moja.
   
 2. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #2
  Sep 17, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Unatumia Version gani ya Ms office? Kuna version ya office nadhani 2003 ilikuwa ina templetaes za mambo mengi. Lakini version baada ya 2003 inabidi uzifuate templete kwenye website ya microsoft.

  Tembelea link hii Invoices - Templates - Microsoft Office
  unawezza kudownload template kama proforma invoice, auto invoive update, basic invoive, invoice auto calculation , etc.

  Otherwise always make google your best friend.
   
 3. LeopoldByongje

  LeopoldByongje JF-Expert Member

  #3
  Sep 17, 2010
  Joined: Apr 28, 2008
  Messages: 373
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Thanks Mkulu. Stay blessed
   
Loading...