Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 57,365
- 90,717
Hakika, ni mojawapo ya kifaa kilichokunywa damu nyingi sana.
Alfa Blond ameiimba hiyo bunduki. Kwenye kibao chke cha Khalashnikov. Hiko kifaa akikishika msomali pale mogadishu basi anaona kama dunia ioo kiganjani kwake.
Kifupi madhara ya hii bunduki ni makubwa sana. Osama bi Laden alikuwa haiachi hata kidogo.
Imeleta madhara huko somalia, liberia Seara Leoni, Afganistan nk.
Afu Mikhaily mwenyewe kafa masikini.