kALEnga kidamali
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 542
- 753
Je mawaziri watakaodumu nae bila kutumbuliwa katika huu muhula wa kwanza 2015-2020 hadi muhula wa pili 2020-2025 ndio watakuwa na kigezo cha kurithi kiti cha urais?
Hapa namaanisha mawaziri watakaodumu kwa kipindi chote cha utawala na wasiokuwa na historia ya kutumbuliwa ama hamishwa kuhamishwa wizara kwa vipindi vyote viwili ndio wataouzika zaidi kuliko mwingine yeyote ataehitaji ridhaa ya kuishika nchi?
Hadi sasa wamebaki mawaziri sita tu ambao hawajatumbuliwa tokea wateuliwe na mh. Rais tokea alipotangaza baraza la mawaziri kwa mara ya kwanza, sasa je tutegemee kumpata mrithi miongoni mwa hawa? au tutegemee mwingine tofauti na hawa na kama ndio je kuna uwezekano wa uwepo wa mwingine atakaeuzika zaidi ya hawa wanaoenda sawa na kasi ya muheshimiwa?