ZAINAB ASHRAFF M
Member
- Oct 22, 2013
- 41
- 11
Kikwete amewaharibu misukule ya magamba na siasa za udini na ukabila...chadema hatuna udini...bakini na udini huko kwenu magamba.
Naftal kwa sasa
ninani'? Amewahi kufanya nini? Uwezo wake kauonesha wapi? Au ndio wewe
unajipigia debe?
Kwani mama junior hawezi kushika hiyo nafasi??
Naftal kwa sasa ninani'? Amewahi kufanya nini? Uwezo wake kauonesha wapi? Au ndio wewe unajipigia debe?
Kwa hapa hata mimi naungana na wewe, Mawazo kama umri unatosha ana fiti, Tatizo lake alikuwa Gamba tuu zamani. Mwenyekt ajaye Tupate mwenye sifa zote km za mawazo na itapendeza zaidi akose sifa moja tuu yakutoka Ugambani.
Tunataka kiongozi akisimama jukwaani anaeleweka BENSAANANE DOMO ZITO MKUU, HAWEZI JUKWAA HATA DAKIKA TANO KWA WANAO MFAHAMU ANA VIDOLE VYEPESI KUANDIKA KWENYE SOCIAL MEDIA TUU. Tukipata Mwenyekiti wa dizain hii hatoishimika na anaowaongoza SINA BIFU NA BEN na ni rafik yng lakini naipenda sana BAVICHA yangu.
Maccm yanajaribu kutupangia hehehe
Ni vituko mkuu wangu
Ni vituko mkuu wangu
Domo Zege Kwani kuna kazi za kutongoza mademu kule?Mkuu naona unajipigia chapuo kistaili, we mbayaaaaa.
Eti kuna mmoja amesema una vidole vyepesi lakini domo zege. Hii imekaaje? Ha ha ha!
Kwa hapa hata mimi naungana na wewe, Mawazo kama umri unatosha ana fiti, Tatizo lake alikuwa Gamba tuu zamani. Mwenyekt ajaye Tupate mwenye sifa zote km za mawazo na itapendeza zaidi akose sifa moja tuu yakutoka Ugambani.
Tunataka kiongozi akisimama jukwaani anaeleweka BENSAANANE DOMO ZITO MKUU, HAWEZI JUKWAA HATA DAKIKA TANO KWA WANAO MFAHAMU ANA VIDOLE VYEPESI KUANDIKA KWENYE SOCIAL MEDIA TUU. Tukipata Mwenyekiti wa dizain hii hatoishimika na anaowaongoza SINA BIFU NA BEN na ni rafik yng lakini naipenda sana BAVICHA yangu.
Hakuna haja ya kujianzishia thread humu ukilenga kupima upepo na matarajio yako yakaenda ndivyo sivyo na sasa unaanza kutukana watu
Mnaweweseka nini .?
Hizi ni hofu tu, hebu fanyeni kazi huko badala ya kufikiria namna ya kumchafua Ben Saanane kila saa kwa ajili ya Uenyekiti.
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chadema Taifa John Heche anamaliza muda wake wa uongozi wa Baraza hilo baada ya kuliongoza kwa mafanikio makubwa.
Binafsi nimetafakari na kupata jawabu la nani atakuwa mrithi wa nafasi hiyo ya juu ya uongozi wa vijana ndani ya chama hicho.Kijana mwenye sifa na uwezo wa kuongoza baraza hilo ni SALIM YUSUPH MPANDA kijana mdogo kutoka Gairo Morogoro.
Ni mtu mwenye tabia njema,upeo wa hali ya juu na uwezo mkubwa kisiasa.Ni msikivu,mwepesi wa kukiri mapungufu yake na kujiwajibisha mwenyewe pindi ashindwapo jambo.Ni mtu ambaye huwezi kutofautisha maneno yake na matendo yake.Siyo mnafiki na kigeugeu.
Siasa za kishamba hapo lumumba zimewaharibu sana vijana,zimewafanya muwe misukule,msioshughurisha ubongo na wenye hoja nyepesi za kukarilishwa.
Mwaka huu utanzisha tena kundi lingine la usalitu sibiri kijana wapo waliotumika na Mbowe na kuleta Impact ndani ya Chama.we unafikiri kukesha hapa JF utapewa wenyekiti kama Heche.Jimbo lenyewe hupewi Selasini ameshashtukia njama zenu za kutaka kumngoa upewe wewe pandikizi.