Koo Lauma
Senior Member
- Jun 10, 2014
- 184
- 61
- Thread starter
- #21
Huo si upumbavu!! Unaposema huyu hapa maana yaake unamuona! Au ni jini ametoweka sasa una tuuliza tena sisi tunaokusikiliza kama siyo kusoma ulicho andika? BAVICHA wote wanaonekana Zumbukuku kwasababu ya watu kama wewe!!
Acha fujo wewe nilidhani nime edit kichwa cha habari baada ya kubadilisha content. chamuhimu ni kuelewa maudhui ya khabari tuu.