Nikikumbuka namna John Heche Alivopatikana Naona Akuna Haja Ya Kupanga Km Vijana ndan ya chama (Bavicha_) Nan Ashike kijiti Baada ya HechË Nafikir Mh.Mbowe AtaÀmua
hata huyyu john heche mtajuta kukoswa kijana anayeweza kwenda mbele kwa mwili na akili yake bila kutumia mtandao ama kusubiri wakubwa wa chama wamuoneshe kama huyu kwa kweli heche bado alikuwa jembe sana kwa sasa sijaangalia labda dogo anaitwa naftali
Heche alikuwa jembe sana namu appriciate siku zote,,
Miongoni mwa vijana wa CHADEMA ninao wakubali kumrithi John Heche mmoja wapo ni Kijana Daniel Naftal ana Explosure kubwa, anakijua chama amekuwa ndani ya chama kwa muda mrefu ni mfia chama, amefukuzwa chuo kwa ajili ya CHAMA na misimamo yake ana nidhamu na heshma na pia hana skendo za usaliti ndani ya chama, kwa kweli akitangaza nia ya kugombea nitamuunga mkono labda ajitokeze mwengne zaid yake maana naipenda BAVICHA yangu, sitokuwa tayari kumuunga mkono mtu goyigoyi anayetaka sifa tuu zakuwa Mwenyekiti wa BAVICHA TAIFA.
Lazima pia awe mkristo.
Na mpaka sasa haujatoka uzi upo ndio ujue mods na members wanavyokupuuza.Mods, Please hii haifai heading na content haviendani! Naomba mtutolee huu ujinga wa watoto wa bavicha hapa!!
cc: · Paw,
PainKiller
tena mkatoliki
Kwa hapa hata mimi naungana na wewe, Mawazo kama umri unatosha ana fiti, Tatizo lake alikuwa Gamba tuu zamani. Mwenyekt ajaye Tupate mwenye sifa zote km za mawazo na itapendeza zaidi akose sifa moja tuu yakutoka Ugambani.
Tunataka kiongozi akisimama jukwaani anaeleweka BENSAANANE DOMO ZITO MKUU, HAWEZI JUKWAA HATA DAKIKA TANO KWA WANAO MFAHAMU ANA VIDOLE VYEPESI KUANDIKA KWENYE SOCIAL MEDIA TUU. Tukipata Mwenyekiti wa dizain hii hatoishimika na anaowaongoza SINA BIFU NA BEN na ni rafik yng lakini naipenda sana BAVICHA yangu.
Mchivi ni wewe na ukoo wako nyumbani kwenu.
Lazima pia awe mkristo.
Heche alikuwa jembe sana namu appriciate siku zote,,
Miongoni mwa vijana wa CHADEMA ninao wakubali kumrithi John Heche mmoja wapo ni Kijana Daniel Naftal ana Explosure kubwa, anakijua chama amekuwa ndani ya chama kwa muda mrefu ni mfia chama, amefukuzwa chuo kwa ajili ya CHAMA na misimamo yake ana nidhamu na heshma na pia hana skendo za usaliti ndani ya chama, kwa kweli akitangaza nia ya kugombea nitamuunga mkono labda ajitokeze mwengne zaid yake maana naipenda BAVICHA yangu, sitokuwa tayari kumuunga mkono mtu goyigoyi anayetaka sifa tuu zakuwa Mwenyekiti wa BAVICHA TAIFA.
Lazima pia awe mkristo.
tena mkatoliki
Hakuna haja ya kujianzishia thread humu ukilenga kupima upepo na matarajio yako yakaenda ndivyo sivyo na sasa unaanza kutukana watu
Mnaweweseka nini .?
Hizi ni hofu tu, hebu fanyeni kazi huko badala ya kufikiria namna ya kumchafua Ben Saanane kila saa kwa ajili ya Uenyekiti.
naftal anafaa,anajua kujenga hoja na kulitawala jukwaa.Ben ni mzuri ila tatizo ni uwezo jukwaani anafaa kuwa katibu wa bavicha au Mkurugenzi wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa