Mrithi wa John Heche huyu hapa

Mrithi wa John Heche huyu hapa

Natamani awe MOHAMMED MTOI.Itasaidia kuitangaza CDM mkoa wa tanga usio na hats mbunge mmoja wa CDM.

Thubutu yake,hiyo nafasi ni nyeti haiwezekana mtu mwenye jina la "MOHAMEDI" akapewa.
.........
"Lakini kuna vijana wamesurubiwa
ndani ya chama kwasababu tu
wamekuwa wakiniunga mkono.
Mchange Habib alishinda uchaguzi wa
Umoja wa Vijana, Lakini matokeo yake
yakafutwa na kupewa mtu mwingine, Kwasababu yangu." ZITTO KABWE
 
Thubutu yake,hiyo nafasi ni nyeti haiwezekana mtu mwenye jina la "MOHAMEDI" akapewa.
.........
"Lakini kuna vijana wamesurubiwa
ndani ya chama kwasababu tu
wamekuwa wakiniunga mkono.
Mchange Habib alishinda uchaguzi wa
Umoja wa Vijana, Lakini matokeo yake
yakafutwa na kupewa mtu mwingine, Kwasababu yangu." ZITTO KABWE

Mchange alionga wajumbe wa uchaguzi hata msg zake za kutuma pesa ziliandikwa magazetini
 
Kwani mama junior hawezi kushika hiyo nafasi??

Michango ya kijinga kama hii ndio inasababisha nchi yetu ionekane ina wananchi wengi wenye IQ ndogo sana.kumbe mko wachache tu.halafu wewe ni mtu mzima tena uko nje ya nchi,wazungu wanaposikia hoja zako za kijinga namna hii wanarekodi na kudhani Watanzania wote tuko hivyo kumbe sivyo.
 
Back
Top Bottom