Mrithi wa John Heche huyu hapa

Nikikumbuka namna John Heche Alivopatikana Naona Akuna Haja Ya Kupanga Km Vijana ndan ya chama (Bavicha_) Nan Ashike kijiti Baada ya HechË Nafikir Mh.Mbowe AtaÀmua

Kweli mkuu si anateuliwa na Hayatolla Mtei
 

Heche alikuwa jembe sana namu appriciate siku zote,,

Miongoni mwa vijana wa CHADEMA ninao wakubali kumrithi John Heche mmoja wapo ni Kijana Daniel Naftal ana Explosure kubwa, anakijua chama amekuwa ndani ya chama kwa muda mrefu ni mfia chama, amefukuzwa chuo kwa ajili ya CHAMA na misimamo yake ana nidhamu na heshma na pia hana skendo za usaliti ndani ya chama, kwa kweli akitangaza nia ya kugombea nitamuunga mkono labda ajitokeze mwengne zaid yake maana naipenda BAVICHA yangu, sitokuwa tayari kumuunga mkono mtu goyigoyi anayetaka sifa tuu zakuwa Mwenyekiti wa BAVICHA TAIFA.
 

ben saanane haumkubali?
 
Mods, Please hii haifai heading na content haviendani! Naomba mtutolee huu ujinga wa watoto wa bavicha hapa!!

cc: · Paw,
PainKiller
Na mpaka sasa haujatoka uzi upo ndio ujue mods na members wanavyokupuuza.

Unadhania upo Lumumba? JF huiwezi nimekwambia. Kitimoto kinakuponza
 

Hakuna haja ya kujianzishia thread humu ukilenga kupima upepo na matarajio yako yakaenda ndivyo sivyo na sasa unaanza kutukana watu

Mnaweweseka nini .?

Hizi ni hofu tu, hebu fanyeni kazi huko badala ya kufikiria namna ya kumchafua Ben Saanane kila saa kwa ajili ya Uenyekiti.
 

Nina wasiwasi kama kweli nyie ni wanacdm au mawakala wa ibilis tu,CDM hatuna watu wanaowaza vyeo kama ninyi
 
naftal anafaa,anajua kujenga hoja na kulitawala jukwaa.Ben ni mzuri ila tatizo ni uwezo jukwaani anafaa kuwa katibu wa bavicha au Mkurugenzi wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa
 

kamanda we tulia kiongozi anajulikana tu. Uwezo wa mtu utaamua.
 
naftal anafaa,anajua kujenga hoja na kulitawala jukwaa.Ben ni mzuri ila tatizo ni uwezo jukwaani anafaa kuwa katibu wa bavicha au Mkurugenzi wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa

Naftal kwa sasa ninani'? Amewahi kufanya nini? Uwezo wake kauonesha wapi? Au ndio wewe unajipigia debe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…