Mrisho Ngassa: Nimeshindwa kuperformance!


mkuu umenikumbusha ya rais wa ujeremani na jk, full mahoka, jk anaongea lugha si yake ndani ya nchi yake, mwenzake akaongea lugha ya nchi yake ndani ya nchi ya kigeni. Kwamba kila mmoja alimwelewa mwenzake hapo sijui...
 
Ngasa kadai ameshindwa 'kuperformance' sababu sababu alikua anakatwa hela zote.
Sasa najiuliza kulikua na ulazima gani wa kutumia kiingereza?!
Afu mademu,iv kweli Ngasa angekua ka mimi tu mngemshobokea?!
Hii pia ni kali lakini haiifikii ya Harmorapa ''Mimi ni strong woman''
 
Huu uzi umenikumbusha kama Ben saanane.. kwa maneno ya waziri mkuu bungeni uwenda ben wetu ametangulia mbele ya haki..
 
Huu uzi umenikumbusha kamanda Ben saanane.. kwa maneno ya waziri mkuu bungeni uwenda ben wetu ametangulia mbele ya haki..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…