Mrisho Ngassa apandishwa kizimbani

Mrisho Ngassa apandishwa kizimbani

Wanawake wengine jamani, kwenda kudai hadi kabati la vipodozi ndiyo nini?
Wakati mwingine na sisi tuwe wajasiliamali vinginevyo hawa wanaume watatunyanyasa sana.

Nini pasi dada mi nabandua mpaka tiles unajua sometimea wanaume wanadharau sana anakuo na kukuacha muda anaotaka tena kwa kukutelekeza maybe na watoto.bila kujua kama amekuharibia mipango ya maisha.
 
wapewe mahakama ya kadhi waache kusumbua ma hakimu wetu..

au wawe kama wakristu ndoa ni milele..
 
Back
Top Bottom