Mrisho Mpoto anapata tabu sana kutembea peku

Mimi nilikutana nae Mpanda mjini kwenye mgahaswa,alikuwa anahamasisha NYUMBA NI CHOO,alikuwa kavaa raba
 
Pia ukiachana na hizo habari za mpoto.

Kutembea peku huwa ni tiba ya kufungua Root chakra.

Kwa watu wanaofanya kazi za ubunifu Kama

Mziki
Kuandika
Kuchora
Kuongea.
N.k

Ukifungua root chakra kwa kutembea peku huwa inaleta nguvu ya innovation Sana .
 
Ndivyo alivyowadanganya?
Mwenzenu anavaa sendo! Akiona camera anavua anakaa peku

Nilimuonaga Boma kwa mkuu wa mkoa na Sendo zake hana habariiii
Hiyo ni brand kajitengenezea tu. Ndio utambulisho wake Ila haimaanishi havai viatu...

Ila amefanikiwa sana maana watu wanaamini kuwa havai😁
 
naona hapo yupo na lodilofa peter msechu,jamaa anafanana sana na lodilofa wa gazeti sani
 
Ni mambo ya ulimwengu wa roho, kuna tajiri mmoja nae anatembelea kanda mbili ambazo zimezeeka. Mafanikio mengine ni mateso. Kuna waliofanikiwa wanajutia walichofanya wanashindwa tu kusema.
 
Anafanya zaidi hivi akiwa mbele ya kamera. Ni namna fulani tu kaamua kujitafutia utambulisho/utofauti kiumaarufu., huwa namuona mara nyingi tu maeneo yake ya kumwagilia moyo anacheza zake pool table akiwa kavaa sendozi.
 
Sawa na mazoezi ya yoga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…