Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,519
- 284,004
Christmas ChunguMbunge wa Arusha Mjini kwa tiketi ya CCM , Ndugu Mrisho Gambo amepelekewa waraka wa kufika kwenye ofisi ya Mkuu wa Wilaya wa Arusha Mjini , huku akitakiwa kuwataja kwa Majina watu wa Serikali ambao alidai walitaka kumvamia mara kadhaa , huku wakiwa wamebeba Condom na Lotion .
Itakumbukwa kwamba hivi karibuni Gambo alitangaza hadharani kwamba anawindwa na watu wa serikali kwa lengo la kumdhuru
Ama kweli Dunia ni Duara , leo Mrisho Gambo aliyekuwa anatukana wenzake akiwa DC Kwamba wana digrii za nguo za ndani na baadaye kuwa RC aliyedhalilisha viongozi wengine , naye anaitwa kujieleza !
Daaah !
Godbless ndiyo kasambaza maneno kuwa kuna watu wanamsaka Gambo wakiwa na mafuta na condom???Ni jambo jema
Godbless siyo wa kumuamini sana
Ameenda zaidi ya hapo!Godbless ndiyo kasambaza maneno kuwa kuna watu wanamsaka Gambo wakiwa na mafuta na condom???
Lema ndiyo kasema kuwa CCM mnataka kumuua Gambo??Ameenda zaidi ya hapo!
Alisema mwenyeweWanamvizia wakiwa na lotion na condom...
Wewe jamaa ni mjinga mno. Hata zingekuwa kwenye chumba kimoja lazima taratibu za kikazi zifuatwe. Serikali inafanya kazi kwa maandishi. Au ulidhani serikalini ni kama kijiweni kwenu?Hizi sinema za Ccm huwa zina furahisha sana. Hivi mna waonaje? Watanzania? Ofisi za mbunge ziko jengo la Mkuu wa wilaya. Bado mna tuhadaa ati kapewa wito. Ujinga mtupu
Amtaje huyohuyo mkuu wa wilaya na timu yakeMbunge wa Arusha Mjini kwa tiketi ya CCM , Ndugu Mrisho Gambo amepelekewa waraka wa kufika kwenye ofisi ya Mkuu wa Wilaya wa Arusha Mjini , huku akitakiwa kuwataja kwa Majina watu wa Serikali ambao alidai walitaka kumvamia mara kadhaa , huku wakiwa wamebeba Condom na Lotion .
Itakumbukwa kwamba hivi karibuni Gambo alitangaza hadharani kwamba anawindwa na watu wa serikali kwa lengo la kumdhuru
Ama kweli Dunia ni Duara , leo Mrisho Gambo aliyekuwa anatukana wenzake akiwa DC Kwamba wana digrii za nguo za ndani na baadaye kuwa RC aliyedhalilisha viongozi wengine , naye anaitwa kujieleza !
Daaah !
Kasema anajua kwanini walienda na Kitafunio Cha Monica hivyo Mrisho awe mwangalifuLema ndiyo kasema kuwa CCM mnataka kumuua Gambo??
Magu na Sabaya hawatamsahau kwa neno la unabiiNi jambo jema
Godbless siyo wa kumuamini sana
Sasa maoni ya lema yanahusiana vipi na huu wito wa dc?Kasema anajua kwanini walienda na Kitafunio Cha Monica hivyo Mrisho awe mwangalifu
Acha na Mgaya kazeeka akiliSasa maoni ya lema yanahusiana vipi na huu wito wa dc?
DC amesema Gambo anapewa Ulinzi wa SerikaliSasa maoni ya lema yanahusiana vipi na huu wito wa dc?
According to Gambo bado yuko mashakani kwasabababu bado lotion na hizo condom bado hazijatumika dhidi yake na bado wahusika wanamsaka.Hiyo lotion imemaliza kazi iliyokusudiwa?