Mrisho Gambo anavyotumika kumsulubu Godbless Lema

Mrisho Gambo anavyotumika kumsulubu Godbless Lema

Siku mkuu wa nchi atakapokuwa akiingia kaburini kitu cha kwanza atakachoulizwa kwanini alinyanyasa viumbe wa mwenyezi Mungu,katika hilo atakuwa ameshahukumiwa Nina imani kabisa kuwa sehemu mwafaka kwa baba jesca ni motoni hiyo haina ubishi.

This is very very strong for Magugu and Mrisya Gambo.
Kanda Bongoman aliimba DUNIA TUNAPITA!!Hakuna atakayebakia milele hapa. Maisha ya milele yatakuwepo baada ya kiyama lakini kwa wale tu waliowatendea mema ndugu zao hapa duniani kwa maana ya watu wote bila kujali Mpinzania au Mwana CCM.
 
Lema ni nabii , yanayotokea leo yalikwisha andikwa .

Mwacheni Mrisho Gambo ajidanganye na ukuu wake wa mkoa uliobakisha miaka mitatu tu .
Kama Lema ni nabii kuna haja gani ya kulalamikia mamlaka za kiserikali kuwa hazimtendei haki ya kupata dhamana si a apply tu divine authority ili malaika wajekumtoa gerezani kama Mitume Paulo na Sila?
 
Kwa mbaaaaali ninaanza kuona dalili za uchaguzi mkuu kwa nafasi ya ubunge wa Arusha mjini kwa mwaka 2020 kama Mungu atujalia uhai utakuwa na mizengwe haijawai kutokea.
 
Mkuu Siasa Tanzania, umekwenda vizuri lakini umekuja kuharibu huku mwisho.

What does mke kwa Msukuma, got to do na kutawala nchi?!.

Kuna kitu kinachoitwa "karma" ambayo ndio hukumu pekee ya haki hapa duniani. Ukitenda wema unalipwa mema na ukitenda ubaya unalipwa ubaya au unahukumiwa.

Lema sio malaika, hayo yanayomkuta inaweza kuwa ni payback time halali na ya haki kabisa kwa maneno yake na matendo yake ya nyuma. Na kama kama anaonewa, then whoever anayemtenda hayo Lema, na yeye atafidia be it ni Gambo, polisi, waendesha mashitaka, hakimu or yoyote, karma haimuonei mtu, but spares no one, kings and presidents with all the mightily powers for this world wanahukumiwa the same way na nobody's with nothing! .

Paskali

Paskali,
I beg your pardon sir.You wanna tell us kwamba hakuna uhusiano wa mke kwa Msukuma na kutawala nchi???Biblia inasema mahali fulani kwamba ili uwe Askofu, Mchungaji au Shemasi lazima uwe ni mtu unayeweza KUISIMAMIA NYUMBA YAKO(FAMILIA) VIZURI! Failure to which you will be definitely disqualified!Maana kama huwezi kuisimamia familia yako(mke+watoto) wawezaje kulisimamia Kanisa la Mungu.
The same applies to Utawala wa nchi my friend. Kama kweli Rais Magufuli ameshindwa kuisimamia familia yake(Mkewe Jesca na watoto) to which ninasadiki kwa matukio fulani fulani ambayo yako wazi na tunayaona, basi Msukuma lazima achemke kwenye Utawala wa Nchi.Kumbuka kitendo cha mwanamme yeyote kuwa na NYUMBA NDOGO no matter yeye ni Rais ni kushindwa kuongoza Familia yako!!! If you fail to manage a family of say 4 to 6 people how are you going to manage a population of 40 m +???Hakika haiwezekani!!!
 
Acha kutapika, uwanja huu ni watu kuongea sio kutapika, au una marinda?
Siku ukiwekwa kwa hila ukasota ndo utajua maana ya kuongea kwa staha.
kinachotokea ni hila na hata ukiulizwa kosa lake ni nini hata huelewi, ukiulizwa sharia ianhusika vp hata huelewi!
Kesi ya Lema ina dhamana lakini mamlaka za juu wamenyoosha mkono wakanyofoa akili za majaji wakaweka upupu!
wamepola mamlaka zisizo zao, wananyanyasa watu, sikia kila jambo lina mwisho. Mandela alikaa ndani zaidi ya amiaka 20 still aliweza kutoka na kuendelea na maisha.
Mungu wetu ni yuleyule wajana na wa leo. #
ipo siku atajibu maobi ya wengi.
Marinda ndio nn,au unataka kusema muheshimiwa huko kisongo wamemtoa marinda?...Mandela alikuwa havuti bangi wala kubwia unga kama kaka yako!
 
Yana mwisho, na mwisho wa ubaya aibu! haya ni mambo batili kwa Mungu na malipo yake nikwa Mungu. wasijione wao ni kila kitu hapa duniani, wako wapi akina Idd Amin! Bokasa! Hitler! Saadam! Mobutu!
 
Marinda ndio nn,au unataka kusema muheshimiwa huko kisongo wamemtoa marinda?...Mandela alikuwa havuti bangi wala kubwia unga kama kaka yako!
Nahisi hukuzaliwa kwa njia ya kawaida! nahisi ulitokea ktk njia nyingine! na unaonekana malezi yako yalikuwa ya hovyo kweli kweli nyumbu wewe!
 
Bora ukose mali upate akili mfalme suleiman si kwamba hakupenda mali lakini alichagua hekima na Bwana akamzidishia mautajir hapakuwahi wala hatakuja kutokea tajiri duniani kumzidi mfalme suleiman dalili ya mvua mawingu ipo siku yenye jina....
Walikuwepo viburi jeuri kama farao leo hii wako wapi kweli cheo ni dhamana Mungu yupo apandaye uovu atavuna uovu yeye na kizazi chake.
 
Paskali,
I beg your pardon sir.You wanna tell us kwamba hakuna uhusiano wa mke kwa Msukuma na kutawala nchi???Biblia inasema mahali fulani kwamba ili uwe Askofu, Mchungaji au Shemasi lazima uwe ni mtu unayeweza KUISIMAMIA NYUMBA YAKO(FAMILIA) VIZURI! Failure to which you will be definitely disqualified!Maana kama huwezi kuisimamia familia yako(mke+watoto) wawezaje kulisimamia Kanisa la Mungu.
The same applies to Utawala wa nchi my friend. Kama kweli Rais Magufuli ameshindwa kuisimamia familia yake(Mkewe Jesca na watoto) to which ninasadiki kwa matukio fulani fulani ambayo yako wazi na tunayaona, basi Msukuma lazima achemke kwenye Utawala wa Nchi.Kumbuka kitendo cha mwanamme yeyote kuwa na NYUMBA NDOGO no matter yeye ni Rais ni kushindwa kuongoza Familia yako!!! If you fail to manage a family of say 4 to 6 people how are you going to manage a population of 40 m +???Hakika haiwezekani!!!
Mkuu Makoye, kwanza nakubalina na wewe family ndio the first unit ya management baada ya familia zinakuja koo, society,wilaya, mikoa mwisho nchi.

Mambo ya kuingiza family issues kwenye utawala ni mambo ya wazungu so does mke mmoja mume mmoja. UK waziri ukigombana na mkeo siri ikatoka nje unafutwa uwaziri.

África mambo ya familia ni private affairs and have nothing to do with kutawala. Hakuna interlinkinkage between family administration na nation running. Kwa African leaders one can be a very bad and horrible family man, and yet a very good leader. Mfano mzuri ni Mfalme Daudi was so weak kwa wanawake wazuri akamtamani mke wa jemedari wake Uriah, akamuua Uriah ili kumpata mke wake ndipo akazaliwa Suleman aliyekuwa moto chini, alioa wake 800 na vimada 200 na he was good!.

Kwa wazungu mke ni tulizo la moyo anahesabiwa as the first silent advisor, ndio maana huitwa 1st Lady, kukikosekana amani nyumbani kiongozi atakosa utulivu wa akili hivyo kushindwa kutawala vizuri.

Kiafrika mke ni tulizo tuu la ile haja na sio lazima awe yeye, mwanamke mwingine yoyote anaweza kuituliza, hivyo ni 1st Lady wa show tuu usikute hashirikishwi kwenye lolote jingine zaidi ya ile huduma.

Na kwa ma traditionalist Wasukuma, mke nafasi yake ni jikoni tuu, na wako wengi, they have nothing to do na utawala!.

Nakiri niliposikia ule uwongo na uzushi wa mtu kupiga mke hadi mke anazimia, nimepata shauku ya kujua cause of death ya mke wake wa kwanza usikute ni...

Paskali
 
Kama Lema ni nabii kuna haja gani ya kulalamikia mamlaka za kiserikali kuwa hazimtendei haki ya kupata dhamana si a apply tu divine authority ili malaika wajekumtoa gerezani kama Mitume Paulo na Sila?
Na hicho ndicho kinachofuata , usishangae watu kulalamika maana hata wakati wa mateso ya Yesu wapo waliotoa machozi .

Narudia tena Lema ni nabii wa Mungu , na yote aliyotabiri yatatokea .
 
Cheo ni dhmana, lakini lazima uwe na akili yenye wingi wa busara kuyajua haya, cheo ni cha muda, lakini lazima uwe na hekima yenye vinasaba vya utu, uelewa mpana wa uongozi na hofu ya Mungu ili uweze kuyajua haya mambo marahisi sana ambayo yanaonekana kufungiwa kwenye box kubwa lenye kuta nyeupe ambazo macho ya viongozi wetu wameshindwa kabisa kuona mbele kuna nini na hawajisumbui kujua maana ya msemo usema cheo ni dhamana.

Mheshima Godbless Lema, ni mmoja wa wanasiasa wachache walio hasi siasa za kinafiki na kujivika ushujaa kwa kusimama na kusema kile anachokiamini, mwanasiasa asiyeogopa mtu, mwenye haiba kubwa na ushawishi kwa watu mbalimbali.

Nadhan kila mtu anajua kuwa Mheshimiwa Lema yupo ndani katika gereza la kisongo kwa muda sasa na kwa sababu ambazo zipo nje ya utashi wa sheria ndani mahakama zetu zenye kuendeshwa kwa remote. Mahakimu hawawanaolipwa mishahara kutokana na kodi za walala hoi wanaamua kuacha akili zao kabati na kwenda ofisini wakisubiri maagizo kutoka mamlaka za juu.

Napenda niwambie watanzania kuwa, Lema hayuko ndani kwa sababu za Kisheria bali kwa sababu za kiutawala, nakumbuka sana mvutano uliokuwepo kati ya polisi mkoa wa Arusha wakiongozwa na RPC wa mkoa walipobishana na Mkuu wa mkoa walipoambiwa wamkamate, haikuwa rahisi kufanya hivyo sababu polisi walijua fika kwamba hawana sababu yoyote ya kumkamata na kumshitaki, ingawa mwisho waliamua kutii na kumkamata kwa hila za Mrisho Gambo ambaye ameonekana kuwa Mungu Mwingine ndani ya Mkoa wa Arusha kwa kushirikiana na waziri kuu pamoja na mkuu wa nchi ilin kutekeleza matakwa yao ya kisiasa.

Nakumbuka Gambo akiongea na wanasheria wa Serikali mkoani Arusha, aliwalazimisha watafute sababu yoyote ambayo itamdisqualify Lema kwenye Ubunge na kummaliza kisiasa, na kuna taarifa kuwa Gambo katumwa kuzima nguvu ya upinzani mkoani Arusha, na anataka kugombea Ubunge katika Jimbo la Arusha mjini (time will tell) Hili lipo wazi, anashirikiana kwa karibu sana na Magige (Mmama abaye ni nyumba ndogo ya Kasimu Majaliwa) Haya Gambo anayajua na ndo maana Waziri mkuu unaona yupo karibu sana na Mrisho Gambo, anamsifia hali anazo taarifa zote kutoka usalama wa taifa kwamba huyu Gambo si mtu na ameuharibu kabisa mkoa wa Arusha, Tunajua Waziri mkuu anataka nini na anaelewa anafanya nini na Mkuu wetu anajua fika kwamba huyu Gambo ni mtu wa namna gani.

Najiuiza sana, ni kwanini mkuu nchi, anaingilia mahakama zetu, ni kwanini mkuu wa nchi anatumia makanisa na sehemu mbalimbali kuomba aombewe wakati matendo yake ni kinyume na matakwa ya Mungu? Mungu huwa hadhiakiwa kamwe, inasikitisha sana kuona watu waliopola dhamana ya wananchi kwa kutumia hila wanavyojiapchika madaraka na namna wanavyoendelea kujiongezea mzigo wa dhambi katika vichwa vyao na uzao wao.

Wanaoelewa wanajua kuwa kumfunga Lema, hamkomoi Lema sema unajikomoa wewe na familia yako, lema huwezi kumzuia katika harakati zake, Lema ni kielelezo cha akina Lema wengi sana katika nchi hiii ambao nadhan watalipuka siku ikiwadia, ni ufinyu wa akili na ulimbukeni wa madaraka. Tunajua mkuu ashasema kuufuta upinzani katika uso wa Tanzania, tunashuhudia namna wanavyotumia hila mbalimbali kupambana na wapinzani, sikia niwambie,ukimfunga Lema Lema leo wapo akina Lema 200 wanaibuka, huwezi kuleta maendeleo kwa kusuppress demokrasia, huwezi kuwa na mipango mizuri ya maendeleo ukaitekeleza gizani, tunajua uwezo wa kiuongozi kwa hawa jamaa ni mdogo, pili tunajua ni wachafu sana, wanahisi njia nzuri ni kujificha kwenye kivuli cha kuzuia uhuru wa kujieleza, huku ni kujidanganya kweupe, muda umeenda na hakuna kitu cha maana mmefanya tofauti na kusumbua upinzani, nchi yetu mnaingiza kwenye matatizo makubwa ya kidiplomasia, matatizo ya kiutawala bora, matatizo ya kidemokrasia,

Napenda nitoe rai kwa huu uongozi , njia rahisi ya kutafuta uungwaji mkono ni ku-excute tu, dunia ya leo huwezi kudeal na watu kwa style hii, ni upuuzi na dhambi kubwa mbele ya Mungu, ni ushenzi usio na kipimo, ni chuki unayopandikizwa tena kwa speed kubwa katika akili za vizazi hata vizazi.

Ni ujinga mara mbili mjinga kumchukia mwenye akili, Kuna mikoa lazima mkubali kwamba hii hata muende na nin kamwe hamuwezi kufanya lolote, wenzetu walishakubali, ukisikia bluu or red state tayari wanajua kule nani anakubalika na nani hakubaliki,

endelezeni visasi, endelezeni ukabila na ukanda kama tunavyoshuhudia maendeleo kwa kasi luangwa na chato, tunaona teuzi nyingi ni kuchomoa kaskazini na kuingiza kanda ya ziwa hasa usukumani, tunaona na tunaendelea kuona ila kuna siku haya mambo yatakoma na siku si nyingi. tanzania tumekuwa na bahati mbaya sana ya kupata viongozi, mwaka huu ndo tumepewa matatizo kabisa wakati sisi tuliomba rais lakini tumepata laana, huyu si mtu ni matatizo, walio wengi hawajalijua ila kadiri siku zinavyokwenda nadhan tutaelewana.

Magufuli, kama mke wako amekushinda, uliaminishwa na nini kwamba utaiweza nchi?
UWE NA UHAKIKA NA UNACHO ANDIKA HAPA;LEMA HUYU NINAYEMFAHAMU AU?AU WW UMELISHWA MANENO?NI HUYU HUYU ALIYESEMA NI HESHIMA KWA MUNGU KUMZOMEA FISADI?NI HUYUHUYU ALIYEKUWA ANAMSAFISHA HUYO ALIYEKUWA ANAITWA FISADI NA KUWAAMURU WANANCHI WAKIMWONA WAMZOMEE?MALIPO NI HAPA HAPA DUNIANI WACHA A....................................................................................................................MPAKA DHAMBI ZOTE ZIISHI.
 
"HESHIMUNI MAMLAKA ZA KIDUNIA" TUSUBIRI MAHAKAMA ITAAMUA ,KWA SASA KINACHOMKWAMISHA KUPATA DHAMANA NI SHERIA, LAKINI SUALA LA MSINGI LA UROPOKAJI LIPO PALEPALE ,KIFUPI HANA STAHA. BYE
Staha c inamstahili mwenye staha. hulijui hill? jiheshimu nawe utaheshimiwa
 
Hakuna mtu anaehangaika na Lema wenu huyo ila mdomo wake mchafu ndiyo umemponza huwezi kumtabiria kifo rais wa nchi halafu uachwe tu kisa ni mpinzani au mbunge, hakuna chochote anachokifanya arusha zaidi ya kuongea maneno machafu kwa viongozi ili akamatwe halafu ajisifie eti ni jasiri haogopi kufungwa sasa kwa bahati mbaya awamu hii kakutaniza kama alikuwa anabip sasa amepigiwa ujinga aliokuwa anaufanya awamu iliyopita aelewe awamu hii haitauvumilia kamwe acha aozee magereza kwanza hakuna kazi aliyokuwa anaifanya arusha kama mbunge zaidi ya maneno tu na uzuri ni kuwa mkoa umepata wachapakazi wanaotatua kero za wana arusha kwa wakati pongezi kwa dc, ded na rc wa arusha kwa kazi nzuri
 
Ni kweli Godbless lema ni mbunge wa aina yake kuwahi kutokea kwa sababu ndie mbunge mtukanaji kuliko wore.
Ni mbunge asiye taka kutumia ushauri wa wenzake bali kile anachoamini yeye tu hata ndani ya chama chake.
Kama ana uwezo wa ndoto si afunge afanye maombi milango ya gereza ifunguke!
Mambo mazito hayo lakini kama yana ukweli tumwachie Mungu mwenyewe kwani ni yeye mwenyewe awezaye kuhukumu
 
Lema aneongozwa na bangi ndo maana hana adabu,usitake kuleta propaganda zako hapa. Asiyejua dharau za Lema ni nani? kuna kipi kipya anachokifanya Lema hatukijui? Wacha aendelee kusota Kisongo maana huko ndo kwa watu wenye akili kama za kwake..!!
Kwahiyo wewe ndo humu uzima?
 
Kinachomtesa lema si gambo wala magufuli. Ni laana kutoka kwa aliowadhulumu. Awaombe msamaha na kutubu
 
Mheshima Godbless Lema, ni mmoja wa wanasiasa wachache walio hasi siasa za kinafiki na kujivika ushujaa kwa kusimama na kusema kile anachokiamini, mwanasiasa asiyeogopa mtu, mwenye haiba kubwa na ushawishi kwa watu mbalimbali.
Anakua sio mnafiki pale anapomzungumzia mtu hana maslai nae, ila akishaingia katika maslai unafiki unakuja kwa kasi, aliwai sema Lowasa ni fisadi na azomewe, kipindi Lowasa yupo CCM, Lema akua mnafiki ila Lowasa alipohamia Chadema, Lema ameufyata kimya kabisa.. Na kumuona Lowasa ni shujaa, je huo sio unafiki, usimpambe Lema bila sababu
 
Back
Top Bottom