Mrisho Gambo anavyotumika kumsulubu Godbless Lema

Lema ni nabii , yanayotokea leo yalikwisha andikwa .

Mwacheni Mrisho Gambo ajidanganye na ukuu wake wa mkoa uliobakisha miaka mitatu tu .
 
Kila jambo na zama zake, wapi Charlz Taylor? Wap Babo?
Ukipata majibu ya haya utajua mwisho wa hawa miunguMtu
 
Lema bora akae kisongo,akitoka tu kamishna wa madawa anamkamata,maana yule bangi inarun through his veins,kwa mkemia kipimo kitavuka scale!
 
Acha kutapika, uwanja huu ni watu kuongea sio kutapika, au una marinda?
Siku ukiwekwa kwa hila ukasota ndo utajua maana ya kuongea kwa staha.
kinachotokea ni hila na hata ukiulizwa kosa lake ni nini hata huelewi, ukiulizwa sharia ianhusika vp hata huelewi!
Kesi ya Lema ina dhamana lakini mamlaka za juu wamenyoosha mkono wakanyofoa akili za majaji wakaweka upupu!
wamepola mamlaka zisizo zao, wananyanyasa watu, sikia kila jambo lina mwisho. Mandela alikaa ndani zaidi ya amiaka 20 still aliweza kutoka na kuendelea na maisha.
Mungu wetu ni yuleyule wajana na wa leo. #
ipo siku atajibu maobi ya wengi.
 
wise comedian-One day utaingia and u will feel the same pain or more than that.
 
Ni Ruangwa sio Luangwa.

Halafu hili la ukabila hakuna watu wenye ukabila na ukanda kama watu wa Kaskazini ndio maana mliungana baada ya Lowasa kuwa mgombea urais kutoka kaskazini.

Suala la uchafu nyote ni wachafu.

Demokrasia anzeni kuitenda kwenye ngazi ya vyama vyenu kwanza ndio mtoke nje na kuihubiri.

Ila mnapoongelea demokrasia wakati nyinyi hamuifuati ni sawa na mwendawazimu anayepiga kelele tu.

Nakumbuka kweli hawa watu wa Kaskazini wana ukabila sana na huwa wanaungana sana kwenye mambo yanayowahusu...nakumbuka siku ile Lowasa kakatwa pale Dodoma wakaskazini wooooooote waliungana na kuimba tuna imani na Lowasa...!! Wakaskazini hawa waliongozwa na wakaskazini wenzao Majaliwa, Nchimbi, Sophia Simba....!!
 
Huo ni mtazamo wako kama siyo propaganda za akina fulani! Wako wenye mtazamo Kama wako ndo wanaofurahia wenzenu wakisakamwa na kutokana na husda walizonazo hao wenye kuwasakama!
 
Mrisho Gambo ni toilet ya ccm kwa kutumia majaji na mahakim kwa kumsotesha Lema getezani kwa kesi za kijinga eti mtu kaota kananyimwa dhamana hakika ccm ni adui wa haki.
 
Cheo ni dhmana, lakini lazima uwe na akili yenye wingi wa busara kuyajua haya, cheo ni cha muda, lakini lazima uwe na hekima yenye vinasaba vya utu, uelewa mpana wa uongozi na hofu ya Mungu ili uweze kuyajua haya mambo marahisi sana ambayo yanaonekana kufungiwa kwenye box kubwa lenye kuta nyeupe ambazo macho ya viongozi wetu wameshindwa kabisa kuona mbele kuna nini na hawajisumbui kujua maana ya msemo usema cheo ni dhamana.

Mheshima Godbless Lema, ni mmoja wa wanasiasa wachache walio hasi siasa za kinafiki na kujivika ushujaa kwa kusimama na kusema kile anachokiamini, mwanasiasa asiyeogopa mtu, mwenye haiba kubwa na ushawishi kwa watu mbalimbali.

Nadhan kila mtu anajua kuwa Mheshimiwa Lema yupo ndani katika gereza la kisongo kwa muda sasa na kwa sababu ambazo zipo nje ya utashi wa sheria ndani mahakama zetu zenye kuendeshwa kwa remote. Mahakimu hawawanaolipwa mishahara kutokana na kodi za walala hoi wanaamua kuacha akili zao kabati na kwenda ofisini wakisubiri maagizo kutoka mamlaka za juu.

Napenda niwambie watanzania kuwa, Lema hayuko ndani kwa sababu za Kisheria bali kwa sababu za kiutawala, nakumbuka sana mvutano uliokuwepo kati ya polisi mkoa wa Arusha wakiongozwa na RPC wa mkoa walipobishana na Mkuu wa mkoa walipoambiwa wamkamate, haikuwa rahisi kufanya hivyo sababu polisi walijua fika kwamba hawana sababu yoyote ya kumkamata na kumshitaki, ingawa mwisho waliamua kutii na kumkamata kwa hila za Mrisho Gambo ambaye ameonekana kuwa Mungu Mwingine ndani ya Mkoa wa Arusha kwa kushirikiana na waziri kuu pamoja na mkuu wa nchi ilin kutekeleza matakwa yao ya kisiasa.

Nakumbuka Gambo akiongea na wanasheria wa Serikali mkoani Arusha, aliwalazimisha watafute sababu yoyote ambayo itamdisqualify Lema kwenye Ubunge na kummaliza kisiasa, na kuna taarifa kuwa Gambo katumwa kuzima nguvu ya upinzani mkoani Arusha, na anataka kugombea Ubunge katika Jimbo la Arusha mjini (time will tell) Hili lipo wazi, anashirikiana kwa karibu sana na Magige (Mmama abaye ni nyumba ndogo ya Kasimu Majaliwa) Haya Gambo anayajua na ndo maana Waziri mkuu unaona yupo karibu sana na Mrisho Gambo, anamsifia hali anazo taarifa zote kutoka usalama wa taifa kwamba huyu Gambo si mtu na ameuharibu kabisa mkoa wa Arusha, Tunajua Waziri mkuu anataka nini na anaelewa anafanya nini na Mkuu wetu anajua fika kwamba huyu Gambo ni mtu wa namna gani.

Najiuiza sana, ni kwanini mkuu nchi, anaingilia mahakama zetu, ni kwanini mkuu wa nchi anatumia makanisa na sehemu mbalimbali kuomba aombewe wakati matendo yake ni kinyume na matakwa ya Mungu? Mungu huwa hadhiakiwa kamwe, inasikitisha sana kuona watu waliopola dhamana ya wananchi kwa kutumia hila wanavyojiapchika madaraka na namna wanavyoendelea kujiongezea mzigo wa dhambi katika vichwa vyao na uzao wao.

Wanaoelewa wanajua kuwa kumfunga Lema, hamkomoi Lema sema unajikomoa wewe na familia yako, lema huwezi kumzuia katika harakati zake, Lema ni kielelezo cha akina Lema wengi sana katika nchi hiii ambao nadhan watalipuka siku ikiwadia, ni ufinyu wa akili na ulimbukeni wa madaraka. Tunajua mkuu ashasema kuufuta upinzani katika uso wa Tanzania, tunashuhudia namna wanavyotumia hila mbalimbali kupambana na wapinzani, sikia niwambie,ukimfunga Lema Lema leo wapo akina Lema 200 wanaibuka, huwezi kuleta maendeleo kwa kusuppress demokrasia, huwezi kuwa na mipango mizuri ya maendeleo ukaitekeleza gizani, tunajua uwezo wa kiuongozi kwa hawa jamaa ni mdogo, pili tunajua ni wachafu sana, wanahisi njia nzuri ni kujificha kwenye kivuli cha kuzuia uhuru wa kujieleza, huku ni kujidanganya kweupe, muda umeenda na hakuna kitu cha maana mmefanya tofauti na kusumbua upinzani, nchi yetu mnaingiza kwenye matatizo makubwa ya kidiplomasia, matatizo ya kiutawala bora, matatizo ya kidemokrasia,

Napenda nitoe rai kwa huu uongozi , njia rahisi ya kutafuta uungwaji mkono ni ku-excute tu, dunia ya leo huwezi kudeal na watu kwa style hii, ni upuuzi na dhambi kubwa mbele ya Mungu, ni ushenzi usio na kipimo, ni chuki unayopandikizwa tena kwa speed kubwa katika akili za vizazi hata vizazi.

Ni ujinga mara mbili mjinga kumchukia mwenye akili, Kuna mikoa lazima mkubali kwamba hii hata muende na nin kamwe hamuwezi kufanya lolote, wenzetu walishakubali, ukisikia bluu or red state tayari wanajua kule nani anakubalika na nani hakubaliki,

endelezeni visasi, endelezeni ukabila na ukanda kama tunavyoshuhudia maendeleo kwa kasi luangwa na chato, tunaona teuzi nyingi ni kuchomoa kaskazini na kuingiza kanda ya ziwa hasa usukumani, tunaona na tunaendelea kuona ila kuna siku haya mambo yatakoma na siku si nyingi. tanzania tumekuwa na bahati mbaya sana ya kupata viongozi, mwaka huu ndo tumepewa matatizo kabisa wakati sisi tuliomba rais lakini tumepata laana, huyu si mtu ni matatizo, walio wengi hawajalijua ila kadiri siku zinavyokwenda nadhan tutaelewana.

Magufuli, kama mke wako amekushinda, uliaminishwa na nini kwamba utaiweza nchi?
Mapovu balaa. Punguza mihemko. Toa hoja zako kiukomavu. Emotions hugubika urazini na kumfanya mtu awe katika kunguku la nusu urazini nusu uhayawani. Nobody can't take you seriously kwa mihemko hii hasa kwa watu makini wenye tamaa ya kuhojiana kwa staha na wenye mapenzi ya kweli na uzalendo kwa nchi yao. Sanasana kitakachofuata hapa ni mapovu tu, kupanick na kutukaniana wazazi na kuitana akina Kaoge.

Good luck lakini katika siasa hakuna kulia lia na kujiapiza kwa sababu siasa ni mchezo mchafu uliojaa rafu za kila aina. Huyo Lema unamlilia hapa kumbe mwenzio keshapiga makalikyulesheni yake kuwa kuwekwa ndani kwa muda mrefu ndiyo kutamtoa kisiasa. Kamwe Usimwamini mwanasiasa hata siku moja unless kama nawe unafaidika-mo.
 
Mmeanza kutafuta huruma nini?

Si alikuwa anajitapa ana uzoefu wa kudhibiti maRC kwamba yeye ndiye alimhamisha Magesa na Mongella.

Ushujaa wa Lema ni hisia za wavuta bange tu.

Ushajaa upimwe kwa kutatua changamoto za anao wawakilisha siyo kutukana wengine.
 
Huo ni mtazamo wako kama siyo propaganda za akina fulani! Wako wenye mtazamo Kama wako ndo wanaofurahia wenzenu wakisakamwa na kutokana na husda walizonazo hao wenye kuwasakama!

Ashakhumu si matusi, nahisi umekurupuka kunijibu...hujalielewa andiko langu...!! Sina kariba ya kufurahi kuumizwa kwa mtu, hata akiwa ni adui yangu...ninapoona anaonewa huwa naungana naye kwenye maumivu. Huenda Lema alikosea, lakini kosa lake lina dhamana...sipendi kabisa anavyonyimwa dhamana...!!
SIPENDI KABISA ANAVYOTENDEWA LEMA...!! SIPENDI KABISA MAHAKAMA ZISIVYOTENDA HAKI...!! SIPENDI RAIS KUTUTKANWA, SIPENDI UBABE WA RAIS, SIPENDI UVUNJWAJI WA SHERIA WA NAMNA YOYOTE ILE...!!
 
Mi gumbo simpendi kuna kitu najiuliza alianzaje kumtumia mesej gumbo? Huoni kama unampa nguvu adui yako kukushughulikia? Hapo ndo penye kikwazo bila ya hivyo angeshatoka
 
Jamaa anapovu kweli

Tuliomba rais tumepata laana

Sasa shida ni ya nani mkuu inabidi ujue hamkujua kuomba makosa ni yenu kwa sabab hiyo mnapaswa kuadhibiwa bila huruma ili msikosee kuomba tena
 
Cheo ni dhmana, lakini lazima uwe na akili yenye wingi wa busara kuyajua haya, cheo ni cha muda, lakini lazima uwe na hekima yenye vinasaba vya utu, uelewa mpana wa uongozi na hofu ya Mungu ili uweze kuyajua haya mambo marahisi sana ambayo yanaonekana kufungiwa kwenye box kubwa lenye kuta nyeupe ambazo macho ya viongozi wetu wameshindwa kabisa kuona mbele kuna nini na hawajisumbui kujua maana ya msemo usema cheo ni dhamana.

Mheshima Godbless Lema, ni mmoja wa wanasiasa wachache walio hasi siasa za kinafiki na kujivika ushujaa kwa kusimama na kusema kile anachokiamini, mwanasiasa asiyeogopa mtu, mwenye haiba kubwa na ushawishi kwa watu mbalimbali.

Nadhan kila mtu anajua kuwa Mheshimiwa Lema yupo ndani katika gereza la kisongo kwa muda sasa na kwa sababu ambazo zipo nje ya utashi wa sheria ndani mahakama zetu zenye kuendeshwa kwa remote. Mahakimu hawawanaolipwa mishahara kutokana na kodi za walala hoi wanaamua kuacha akili zao kabati na kwenda ofisini wakisubiri maagizo kutoka mamlaka za juu.

Napenda niwambie watanzania kuwa, Lema hayuko ndani kwa sababu za Kisheria bali kwa sababu za kiutawala, nakumbuka sana mvutano uliokuwepo kati ya polisi mkoa wa Arusha wakiongozwa na RPC wa mkoa walipobishana na Mkuu wa mkoa walipoambiwa wamkamate, haikuwa rahisi kufanya hivyo sababu polisi walijua fika kwamba hawana sababu yoyote ya kumkamata na kumshitaki, ingawa mwisho waliamua kutii na kumkamata kwa hila za Mrisho Gambo ambaye ameonekana kuwa Mungu Mwingine ndani ya Mkoa wa Arusha kwa kushirikiana na waziri kuu pamoja na mkuu wa nchi ilin kutekeleza matakwa yao ya kisiasa.

Nakumbuka Gambo akiongea na wanasheria wa Serikali mkoani Arusha, aliwalazimisha watafute sababu yoyote ambayo itamdisqualify Lema kwenye Ubunge na kummaliza kisiasa, na kuna taarifa kuwa Gambo katumwa kuzima nguvu ya upinzani mkoani Arusha, na anataka kugombea Ubunge katika Jimbo la Arusha mjini (time will tell) Hili lipo wazi, anashirikiana kwa karibu sana na Magige (Mmama abaye ni nyumba ndogo ya Kasimu Majaliwa) Haya Gambo anayajua na ndo maana Waziri mkuu unaona yupo karibu sana na Mrisho Gambo, anamsifia hali anazo taarifa zote kutoka usalama wa taifa kwamba huyu Gambo si mtu na ameuharibu kabisa mkoa wa Arusha, Tunajua Waziri mkuu anataka nini na anaelewa anafanya nini na Mkuu wetu anajua fika kwamba huyu Gambo ni mtu wa namna gani.

Najiuiza sana, ni kwanini mkuu nchi, anaingilia mahakama zetu, ni kwanini mkuu wa nchi anatumia makanisa na sehemu mbalimbali kuomba aombewe wakati matendo yake ni kinyume na matakwa ya Mungu? Mungu huwa hadhiakiwa kamwe, inasikitisha sana kuona watu waliopola dhamana ya wananchi kwa kutumia hila wanavyojiapchika madaraka na namna wanavyoendelea kujiongezea mzigo wa dhambi katika vichwa vyao na uzao wao.

Wanaoelewa wanajua kuwa kumfunga Lema, hamkomoi Lema sema unajikomoa wewe na familia yako, lema huwezi kumzuia katika harakati zake, Lema ni kielelezo cha akina Lema wengi sana katika nchi hiii ambao nadhan watalipuka siku ikiwadia, ni ufinyu wa akili na ulimbukeni wa madaraka. Tunajua mkuu ashasema kuufuta upinzani katika uso wa Tanzania, tunashuhudia namna wanavyotumia hila mbalimbali kupambana na wapinzani, sikia niwambie,ukimfunga Lema Lema leo wapo akina Lema 200 wanaibuka, huwezi kuleta maendeleo kwa kusuppress demokrasia, huwezi kuwa na mipango mizuri ya maendeleo ukaitekeleza gizani, tunajua uwezo wa kiuongozi kwa hawa jamaa ni mdogo, pili tunajua ni wachafu sana, wanahisi njia nzuri ni kujificha kwenye kivuli cha kuzuia uhuru wa kujieleza, huku ni kujidanganya kweupe, muda umeenda na hakuna kitu cha maana mmefanya tofauti na kusumbua upinzani, nchi yetu mnaingiza kwenye matatizo makubwa ya kidiplomasia, matatizo ya kiutawala bora, matatizo ya kidemokrasia,

Napenda nitoe rai kwa huu uongozi , njia rahisi ya kutafuta uungwaji mkono ni ku-excute tu, dunia ya leo huwezi kudeal na watu kwa style hii, ni upuuzi na dhambi kubwa mbele ya Mungu, ni ushenzi usio na kipimo, ni chuki unayopandikizwa tena kwa speed kubwa katika akili za vizazi hata vizazi.

Ni ujinga mara mbili mjinga kumchukia mwenye akili, Kuna mikoa lazima mkubali kwamba hii hata muende na nin kamwe hamuwezi kufanya lolote, wenzetu walishakubali, ukisikia bluu or red state tayari wanajua kule nani anakubalika na nani hakubaliki,

endelezeni visasi, endelezeni ukabila na ukanda kama tunavyoshuhudia maendeleo kwa kasi luangwa na chato, tunaona teuzi nyingi ni kuchomoa kaskazini na kuingiza kanda ya ziwa hasa usukumani, tunaona na tunaendelea kuona ila kuna siku haya mambo yatakoma na siku si nyingi. tanzania tumekuwa na bahati mbaya sana ya kupata viongozi, mwaka huu ndo tumepewa matatizo kabisa wakati sisi tuliomba rais lakini tumepata laana, huyu si mtu ni matatizo, walio wengi hawajalijua ila kadiri siku zinavyokwenda nadhan tutaelewana.

Magufuli, kama mke wako amekushinda, uliaminishwa na nini kwamba utaiweza nchi?
Somehow true, but calm down a bit.
 
Tuacheni ushabiki usiokuwa na maana. Kumweka mtu yeyote mahabusu bila kumfikisha mahakamani ni jambo lisilokubalika na ni kinyume cha sheria zetu. Hata tukiwa mashabiki, tujifunzeni pia kuwa wakweli.
 
"HESHIMUNI MAMLAKA ZA KIDUNIA" TUSUBIRI MAHAKAMA ITAAMUA ,KWA SASA KINACHOMKWAMISHA KUPATA DHAMANA NI SHERIA, LAKINI SUALA LA MSINGI LA UROPOKAJI LIPO PALEPALE ,KIFUPI HANA STAHA. BYE
TUMBILI KATIKA UNGEDERE WAKO
 
Back
Top Bottom