Cheo ni dhmana, lakini lazima uwe na akili yenye wingi wa busara kuyajua haya, cheo ni cha muda, lakini lazima uwe na hekima yenye vinasaba vya utu, uelewa mpana wa uongozi na hofu ya Mungu ili uweze kuyajua haya mambo marahisi sana ambayo yanaonekana kufungiwa kwenye box kubwa lenye kuta nyeupe ambazo macho ya viongozi wetu wameshindwa kabisa kuona mbele kuna nini na hawajisumbui kujua maana ya msemo usema cheo ni dhamana.
Mheshima Godbless Lema, ni mmoja wa wanasiasa wachache walio hasi siasa za kinafiki na kujivika ushujaa kwa kusimama na kusema kile anachokiamini, mwanasiasa asiyeogopa mtu, mwenye haiba kubwa na ushawishi kwa watu mbalimbali.
Nadhan kila mtu anajua kuwa Mheshimiwa Lema yupo ndani katika gereza la kisongo kwa muda sasa na kwa sababu ambazo zipo nje ya utashi wa sheria ndani mahakama zetu zenye kuendeshwa kwa remote. Mahakimu hawawanaolipwa mishahara kutokana na kodi za walala hoi wanaamua kuacha akili zao kabati na kwenda ofisini wakisubiri maagizo kutoka mamlaka za juu.
Napenda niwambie watanzania kuwa, Lema hayuko ndani kwa sababu za Kisheria bali kwa sababu za kiutawala, nakumbuka sana mvutano uliokuwepo kati ya polisi mkoa wa Arusha wakiongozwa na RPC wa mkoa walipobishana na Mkuu wa mkoa walipoambiwa wamkamate, haikuwa rahisi kufanya hivyo sababu polisi walijua fika kwamba hawana sababu yoyote ya kumkamata na kumshitaki, ingawa mwisho waliamua kutii na kumkamata kwa hila za Mrisho Gambo ambaye ameonekana kuwa Mungu Mwingine ndani ya Mkoa wa Arusha kwa kushirikiana na waziri kuu pamoja na mkuu wa nchi ilin kutekeleza matakwa yao ya kisiasa.
Nakumbuka Gambo akiongea na wanasheria wa Serikali mkoani Arusha, aliwalazimisha watafute sababu yoyote ambayo itamdisqualify Lema kwenye Ubunge na kummaliza kisiasa, na kuna taarifa kuwa Gambo katumwa kuzima nguvu ya upinzani mkoani Arusha, na anataka kugombea Ubunge katika Jimbo la Arusha mjini (time will tell) Hili lipo wazi, anashirikiana kwa karibu sana na Magige (Mmama abaye ni nyumba ndogo ya Kasimu Majaliwa) Haya Gambo anayajua na ndo maana Waziri mkuu unaona yupo karibu sana na Mrisho Gambo, anamsifia hali anazo taarifa zote kutoka usalama wa taifa kwamba huyu Gambo si mtu na ameuharibu kabisa mkoa wa Arusha, Tunajua Waziri mkuu anataka nini na anaelewa anafanya nini na Mkuu wetu anajua fika kwamba huyu Gambo ni mtu wa namna gani.
Najiuiza sana, ni kwanini mkuu nchi, anaingilia mahakama zetu, ni kwanini mkuu wa nchi anatumia makanisa na sehemu mbalimbali kuomba aombewe wakati matendo yake ni kinyume na matakwa ya Mungu? Mungu huwa hadhiakiwa kamwe, inasikitisha sana kuona watu waliopola dhamana ya wananchi kwa kutumia hila wanavyojiapchika madaraka na namna wanavyoendelea kujiongezea mzigo wa dhambi katika vichwa vyao na uzao wao.
Wanaoelewa wanajua kuwa kumfunga Lema, hamkomoi Lema sema unajikomoa wewe na familia yako, lema huwezi kumzuia katika harakati zake, Lema ni kielelezo cha akina Lema wengi sana katika nchi hiii ambao nadhan watalipuka siku ikiwadia, ni ufinyu wa akili na ulimbukeni wa madaraka. Tunajua mkuu ashasema kuufuta upinzani katika uso wa Tanzania, tunashuhudia namna wanavyotumia hila mbalimbali kupambana na wapinzani, sikia niwambie,ukimfunga Lema Lema leo wapo akina Lema 200 wanaibuka, huwezi kuleta maendeleo kwa kusuppress demokrasia, huwezi kuwa na mipango mizuri ya maendeleo ukaitekeleza gizani, tunajua uwezo wa kiuongozi kwa hawa jamaa ni mdogo, pili tunajua ni wachafu sana, wanahisi njia nzuri ni kujificha kwenye kivuli cha kuzuia uhuru wa kujieleza, huku ni kujidanganya kweupe, muda umeenda na hakuna kitu cha maana mmefanya tofauti na kusumbua upinzani, nchi yetu mnaingiza kwenye matatizo makubwa ya kidiplomasia, matatizo ya kiutawala bora, matatizo ya kidemokrasia,
Napenda nitoe rai kwa huu uongozi , njia rahisi ya kutafuta uungwaji mkono ni ku-excute tu, dunia ya leo huwezi kudeal na watu kwa style hii, ni upuuzi na dhambi kubwa mbele ya Mungu, ni ushenzi usio na kipimo, ni chuki unayopandikizwa tena kwa speed kubwa katika akili za vizazi hata vizazi.
Ni ujinga mara mbili mjinga kumchukia mwenye akili, Kuna mikoa lazima mkubali kwamba hii hata muende na nin kamwe hamuwezi kufanya lolote, wenzetu walishakubali, ukisikia bluu or red state tayari wanajua kule nani anakubalika na nani hakubaliki,
endelezeni visasi, endelezeni ukabila na ukanda kama tunavyoshuhudia maendeleo kwa kasi luangwa na chato, tunaona teuzi nyingi ni kuchomoa kaskazini na kuingiza kanda ya ziwa hasa usukumani, tunaona na tunaendelea kuona ila kuna siku haya mambo yatakoma na siku si nyingi. tanzania tumekuwa na bahati mbaya sana ya kupata viongozi, mwaka huu ndo tumepewa matatizo kabisa wakati sisi tuliomba rais lakini tumepata laana, huyu si mtu ni matatizo, walio wengi hawajalijua ila kadiri siku zinavyokwenda nadhan tutaelewana.
Magufuli, kama mke wako amekushinda, uliaminishwa na nini kwamba utaiweza nchi?