K KakaNanii JF-Expert Member Joined Sep 28, 2008 Posts 325 Reaction score 52 Aug 10, 2011 #1 huyu dada mrembo wa KibahaView attachment 35151
First Born JF-Expert Member Joined Jul 11, 2011 Posts 5,317 Reaction score 1,485 Aug 10, 2011 #2 Mi nimempenda jamani, kanivutia kila kitu.
Jestina JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 4,828 Reaction score 1,716 Aug 10, 2011 #3 kamekakamaa kama mti!!!
Bright Smart JF-Expert Member Joined May 4, 2011 Posts 643 Reaction score 312 Aug 10, 2011 #4 dah!! aisee kiukweli na mimi sijakapitisha kabisa kama kamsumari vile!!!
Good Guy JF-Expert Member Joined Oct 24, 2010 Posts 3,822 Reaction score 1,432 Aug 10, 2011 #5 jestina said: kamekakamaa kama mti!!! Click to expand... Wivu huo!
Daffi Jr JF-Expert Member Joined Jun 25, 2011 Posts 3,824 Reaction score 909 Aug 10, 2011 #6 Mrembo ni mkali balaa!IN SHORT NIMEMPENDA
P pori Member Joined Mar 12, 2010 Posts 86 Reaction score 12 Aug 10, 2011 #7 mrembo wa kibaha? mimi nimeone kijiti tu. Teh teh teh!
Fasouls JF-Expert Member Joined Jun 24, 2011 Posts 937 Reaction score 321 Aug 10, 2011 #8 Hivi wanaume wanaovutiwa na wanawake kama hawa ni nin kna wavutia? Mana hapo ni mifupa mitupu!(skeleton)
Hivi wanaume wanaovutiwa na wanawake kama hawa ni nin kna wavutia? Mana hapo ni mifupa mitupu!(skeleton)
babukijana JF-Expert Member Joined Jul 21, 2009 Posts 16,281 Reaction score 20,835 Aug 11, 2011 #9 miss kibaha??? mbona nyuma yake kuna bango la miss UGANDA??tafadhali punguza fix
Dumelambegu JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 1,052 Reaction score 260 Aug 11, 2011 #10 mmhhhh, ukikakaanga hupati mafuta hatackijiko kimoja. Kamrkakamaaaa kwelikweli.
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,700 Aug 11, 2011 #11 hivi ndo binti yangu nimruhusu akafanye hivyo, labda anitoroke duuuu.
gmosha48 JF-Expert Member Joined Oct 19, 2010 Posts 2,399 Reaction score 1,482 Aug 11, 2011 #12 babukijana said: miss kibaha??? mbona nyuma yake kuna bango la miss UGANDA??tafadhali punguza fix Click to expand... Mkuu inabidi ukafanye kazi na wale jamaa wa intelijensia. Macho yako ni makali sana.
babukijana said: miss kibaha??? mbona nyuma yake kuna bango la miss UGANDA??tafadhali punguza fix Click to expand... Mkuu inabidi ukafanye kazi na wale jamaa wa intelijensia. Macho yako ni makali sana.
millen Member Joined May 18, 2011 Posts 41 Reaction score 5 Aug 11, 2011 #13 khaaaa kwa mtindo huu miss world 2taickia 2!
Gama JF-Expert Member Joined Jan 9, 2010 Posts 13,264 Reaction score 4,744 Aug 11, 2011 #14 Huu ndo ugonjwa wangu, mwenye namba yake ani PM,
M mbongopopo JF-Expert Member Joined Jan 24, 2008 Posts 1,611 Reaction score 764 Aug 12, 2011 #16 Tabu ya hawa ma miss vijana wa mjini waliojaa ukimwi wana waharibu sana
Caroline Danzi JF-Expert Member Joined Dec 19, 2008 Posts 3,713 Reaction score 1,269 Aug 12, 2011 #17 Jaribu ufe! mna hela za kuwapa!!
M mganga salum New Member Joined Aug 12, 2011 Posts 3 Reaction score 0 Aug 12, 2011 #18 mmh kazi ipo...kanalipa kimtindo
U Uncle Jei Jei JF-Expert Member Joined Jan 7, 2011 Posts 1,683 Reaction score 2,158 Aug 12, 2011 #19 Fasouls said: Hivi wanaume wanaovutiwa na wanawake kama hawa ni nin kna wavutia? Mana hapo ni mifupa mitupu!(skeleton) Click to expand... <br /> <br /> ishu yao ni balaaaaa!! Si ya kitoto yaani huchoki!
Fasouls said: Hivi wanaume wanaovutiwa na wanawake kama hawa ni nin kna wavutia? Mana hapo ni mifupa mitupu!(skeleton) Click to expand... <br /> <br /> ishu yao ni balaaaaa!! Si ya kitoto yaani huchoki!
NDINDA Platinum Member Joined Apr 4, 2011 Posts 10,744 Reaction score 49,623 Aug 12, 2011 #20 Nadhani unamaanisha kitu kingine na miss kibaha, kama ukiangalia vizuri kule nyuma kuna kitu kama miss uganda, 20.., sasa kibaha ya uganda au ya tanzania?
Nadhani unamaanisha kitu kingine na miss kibaha, kama ukiangalia vizuri kule nyuma kuna kitu kama miss uganda, 20.., sasa kibaha ya uganda au ya tanzania?