labda hajaona kazi ya chupi unajua kwa wale tulizaliwa ushagoo. nguo za nje zenyewe zilikuwa ishu sasa hizi chupi za kuja kuvalia ukubwani huwa zinakera sana maana kama umezoea fuli mahewa utaona chupi inakusumbua, kama anavyooneka mwenyewe hana wasiwasi inamaaa huenda alisahau kuvaa au hajui kama huwa watu wanavaa chupi.
Inanikumbusha mama wamama flani hivi uswahili na walikuwa wamama wa nyumbani halafu wakawa wanashindana kwa kila watakacholetewa na waume zao lazima wenzake wakome sasa siku hiyo akaletewa chupi mpya akasema lazima wenzake waone akatoka bafuni mbio kwenda kuvaa nguo akajisahau kuvaa chupi akatoka mbio kuwawahi wamama wenzake kibarazani kupiga stori akaacha duka wazi ili waone chupi mpya laula kumbe alikuwa amesahau kuvaa