wanaume wa aina hii duh!!!!!!!!!! kujitambua ni kazi sana, akili kweli ni nywele maana kila mtu na zake! unajua ulicho kisema? uso wa mbuzi unaujua? unajua mapungufu uliyo nayo regardless na huo muonekano wako usiofanana na uso wa mbuzi! unaweza pitia post zote ukafanya tathimini kama ulikuwa unaelewa hata unacho kiongea! busara unayofikiri watu huwa wanasema unayo iko wapi? jiheshimuni mnapoheshimiwa! unajua wanaume kama mabinti ni watu kama nani waliimbiwa zaidi ya aina yako?
be smart inamaana kila mwanaume aliyekuja na thread ya aina hii ana sura ya mbuzi? hivi akili hapa imetumika au kamasi!
She is pretty girl, cute, good looking, portable but talkative!!!!!
Alinitembelea leo mtaani kwangu baada ya mawasiliano ya hapa na pale! nimempokea saa 6:30 mchana akitokea posta nimemuaga saa 12:58 jioni akielekea kwake!
Ni member mwenye michango mingi na anayeheshimika sana humu MMU! nimefurahishwa na charming yake, i was too fun kwake! neno ahsante kwake limemtawala sana! alipofika om hakusahau kunipa update zake kama! nimefika salama, naenda bafuni kuoga, napika chakula, naomba tuchat!
Humu jamani kuna warembo na wanavyoongea humu ni tofauti na caring wanayoonyesha nje ya jukwaa! Nami nakushukuru kwa kampani yako kama ulivyofanya ulipofika kwenu , i like that!
Wanaume wenzangu msiwachambe wadada, ndio ombi kaniomba niwambie katumia msitari wa kidini kuwa niwambie tulielezwa "tuwapende nao watutii" naomba tusiwakere kwa kweli ni warembo na wanatukubali jamani tuwaheshimu naye nimempa kazi hiyo ya kurejesha heshima yetu toka jinsia yake!
Aisee mmeogopeshwa na wanaume wanaotongoza next level huku wako previous level sasa naona mizinga ni tishio! najua nini mwanamke anasitahili na ni wakati gani anasitahili!
Masikini mimi, chelewa chelewa, utakuta mwana si wako!, sikunyingi nilipanga nikualike!.Hehehe asante kwa kunirusha live. Nimemaliza kupika, karibu.
Mkuu Julius, hongera sana!. Hii iliishawahi nitokea nikiwa Arusha, mrembo fulani wa jf, alipandia pm, hatimaye tulionana!. Sometimes jf is for real!.She is pretty girl, cute, good looking, portable but talkative!!!!!
Alinitembelea leo mtaani kwangu baada ya mawasiliano ya hapa na pale! nimempokea saa 6:30 mchana akitokea posta nimemuaga saa 12:58 jioni akielekea kwake!
Ni member mwenye michango mingi na anayeheshimika sana humu MMU! nimefurahishwa na charming yake, i was too fun kwake! neno ahsante kwake limemtawala sana! alipofika om hakusahau kunipa update zake kama! nimefika salama, naenda bafuni kuoga, napika chakula, naomba tuchat!
Humu jamani kuna warembo na wanavyoongea humu ni tofauti na caring wanayoonyesha nje ya jukwaa! Nami nakushukuru kwa kampani yako kama ulivyofanya ulipofika kwenu , i like that!
Wanaume wenzangu msiwachambe wadada, ndio ombi kaniomba niwambie katumia msitari wa kidini kuwa niwambie tulielezwa "tuwapende nao watutii" naomba tusiwakere kwa kweli ni warembo na wanatukubali jamani tuwaheshimu naye nimempa kazi hiyo ya kurejesha heshima yetu toka jinsia yake!
...labda waliongea na muhusika kamruhusu kuanzisha thread hapa ali mradi hamtaji kwa ID yake, sioni tatizo kama wahusika wenyewe wamekubaliana.
She is pretty girl, cute, good looking, portable but talkative!!!!!
Alinitembelea leo mtaani kwangu baada ya mawasiliano ya hapa na pale! nimempokea saa 6:30 mchana akitokea posta nimemuaga saa 12:58 jioni akielekea kwake!
Ni member mwenye michango mingi na anayeheshimika sana humu MMU! nimefurahishwa na charming yake, i was too fun kwake! neno ahsante kwake limemtawala sana! alipofika om hakusahau kunipa update zake kama! nimefika salama, naenda bafuni kuoga, napika chakula, naomba tuchat!
Humu jamani kuna warembo na wanavyoongea humu ni tofauti na caring wanayoonyesha nje ya jukwaa! Nami nakushukuru kwa kampani yako kama ulivyofanya ulipofika kwenu , i like that!
Wanaume wenzangu msiwachambe wadada, ndio ombi kaniomba niwambie katumia msitari wa kidini kuwa niwambie tulielezwa "tuwapende nao watutii" naomba tusiwakere kwa kweli ni warembo na wanatukubali jamani tuwaheshimu naye nimempa kazi hiyo ya kurejesha heshima yetu toka jinsia yake!
Ooh!!! ndio kutangaza kote huku...hata huyo njiwa anaweza kupeperuka.
Malengo yako yalikuwa nini?
you fore bee ,i am waiting u to cross aline!hapo ajala akila hapakaliki hapa
Hivi ukikutana na mtu nje ya JF huwa kuna ulazima wa kuandika sredi?
Halafu mara zote huwa ni ME tu ndio wanaoleta feedback...
#JustCurious
Kuna watu wanaongea kizungu nyie wacheni tu.She is pretty girl, cute, good looking, portable but talkative!!!!!
same to mi.
btw watu hatuna jema.
wakileta uzi wa kuponda tunakuja juu
za kucfia nazo the same. !!!????
mbombo jilipo. lol