ni kweli nimemruhusu bora asinitaje
ahahaaa hivi portable yupoje? na utajuaje mtu ni portable....Mhhhh!!!! Hahahahaha lol! haya banaa....Hongera zako maana umepambwa ile mbaya na ukapambika. Mtu anayependa kusema ahsante humu ndani mie namjua nahisi ni yeye. Anasema ahsante karibu mara milioni kwa siku 🙂🙂
:violin::violin::violin:
...labda waliongea na muhusika kamruhusu kuanzisha thread hapa ali mradi hamtaji kwa ID yake, sioni tatizo kama wahusika wenyewe wamekubaliana.
ahahaaa hivi portable yupoje? na utajuaje mtu ni portable....
Ikitokea hilo utamuona anaanzisha posti 10 zote akiwa analalamika kupiga mizinga. Ndiyo tabia ya hawa machekibob wa hapa JF akiombwa msaada tu, kosa.Akituma sms ya kuomba laki ya fiesta pia uendelee kumsifia hivyo hivyo.
Teh teh teh unavyompamba.hongera na ndio muache kuweka thread za kututukana.
Akituma sms ya kuomba laki ya fiesta pia uendelee kumsifia hivyo hivyo.
ungesema hana hela ya mafuta si kila mtu anapanda dala dala!dah, we nawe, cha ajabu mdada wa watu kaja kukutembela lakini hata kumtoa nauli basi hamna!!
sasa unaona raha sana mtu kutoka mbagala mwisho kwenu huko mpaka kwao masaki?
sio vizuri aisee!
Hujaelewa tu he has a crush lol :smile-big::smile-big::smile-big::smile-big:
ngojas nikurushe siku moja live
ungesema hana hela ya mafuta si kila mtu anapanda dala dala!
hahaha za hivi zimekatazwa lolAkituma sms ya kuomba laki ya fiesta pia uendelee kumsifia hivyo hivyo.
sasa we nawe ulitaka niseme direct hivyoooo!!!
nauli si ndio modern language for pesa ya mafuta?
ama wewe ulielewa katika local language?
Ikitokea hilo utamuona anaanzisha posti 10 zote akiwa analalamika kupiga mizinga. Ndiyo tabia ya hawa machekibob wa hapa JF akiombwa msaada tu, kosa.
He! Kumbe wewe dume!!!!???aisee mimi binafsi nimeshapata namba moja hivi kutoka kwa mdada wa jf, kila leo ananipigia simu akinifananisha na member mmoja hivi!!
yeye anataja sijui ni lyamba ama mamba mi hata sielewi!!
lakini mpaka sasa tumeshakuwa marafiki vibaya japo hatujawahi onana!!
aisee kama huyu jamaa kweli ni member wa jf humu anitafute nimuwasilishie mgeni wake!