Mrembo wa geti kali alipokea cmu ngeni na mambo yalikuwa km hivi:
SIMU:Hellow una boyfriend?
MREMBO:Ndio ninae,nani mwenzangu?
SIMU:Mm babako kumbe una byfrnd!ukirud utantambua!cm ikakatika.
Akiwa na mawazo ya nini afanye cmu ikaita tena kwa namba ngeni.
SIMU:Hlw una byfrnd?
MREMBO:Hapana cna.
SIMU:Vp mpenz ina maana umenisaliti!
MRMB:Hapana bby nilijua ni baba.
CMU:Ni mm baba yko nlikua nahakikisha tu km kweli una bf..utanikoma leo.
Mrembo kazimia!