Mrembo wa geti kali.

Safhat

JF-Expert Member
May 19, 2012
270
25
Mrembo wa geti kali alipokea cmu ngeni na mambo yalikuwa km hivi:
SIMU:Hellow una boyfriend?
MREMBO:Ndio ninae,nani mwenzangu?
SIMU:Mm babako kumbe una byfrnd!ukirud utantambua!cm ikakatika.
Akiwa na mawazo ya nini afanye cmu ikaita tena kwa namba ngeni.
SIMU:Hlw una byfrnd?
MREMBO:Hapana cna.
SIMU:Vp mpenz ina maana umenisaliti!
MRMB:Hapana bby nilijua ni baba.
CMU:Ni mm baba yko nlikua nahakikisha tu km kweli una bf..utanikoma leo.
Mrembo kazimia!
 
Ina maana hafaham tofauti kati ya baba yake na mpenzie ?

Searching...100%
Loading...0%
Network Failed !
 
ebwna eee,hahahahahaha
 
Ina maana hafaham tofauti kati ya baba yake na mpenzie ?

Searching...100%
Loading...0%
Network Failed !

kumbuka alikua na msongamano wa mawazo kutokana na kuchanganykiwa na cmu ya mwnzo.so ucmlaumu.
 
teh teh teh hapo dogo atakiona cha mtema kuni tena kama dingi yake ni kama ile midingi ya middle school..! hapo pamechimbika...! umetisha mkuu..!
 
Mrembo wa geti kali alipokea cmu ngeni na mambo yalikuwa km hivi:
SIMU:Hellow una boyfriend?
MREMBO:Ndio ninae,nani mwenzangu?
SIMU:Mm babako kumbe una byfrnd!ukirud utantambua!cm ikakatika.
Akiwa na mawazo ya nini afanye cmu ikaita tena kwa namba ngeni.
SIMU:Hlw una byfrnd?
MREMBO:Hapana cna.
SIMU:Vp mpenz ina maana umenisaliti!
MRMB:Hapana bby nilijua ni baba.
CMU:Ni mm baba yko nlikua nahakikisha tu km kweli una bf..utanikoma leo.
Mrembo kazimia!

hilo dingi ni noma
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom