Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 734
Yeah Sugu hadi sasa ni bachelor so warembo watajikomba kinoma, hata Mh. Zitto nae single pia...What a ugly girl....Kabaya kweli...dah.....Kwani sugu mpaka sasa ni single...Ufss......
ina maana zito haishi na mama wa watoto wake?Yeah Sugu hadi sasa ni bachelor so warembo watajikomba kinoma, hata Mh. Zitto nae single pia...
What a ugly girl....Kabaya kweli...dah.....Kwani sugu mpaka sasa ni single...Ufss......
Yeah Sugu hadi sasa ni bachelor so warembo watajikomba kinoma, hata Mh. Zitto nae single pia...
Mdomo wake kama chuchunge sijui ni mkwere?anaonekana anaongea sana huyu duh
Mdomo wake kama chuchunge sijui ni mkwere?anaonekana anaongea sana huyu duh
Nimecheka mpaka basi mbavu zangu jamani.......
Siku chache baada ya kuingia kwenye mjengo wa Bunge kuwawakilisha wananchi wa Mbeya Mjini, Mhe. Joseph Osmund Mbilinyi ‘Sugu' ameiteka akili ya Miss Pwani 2010, Zaynab Ally, mrembo mwenyewe amekiri katika mahojiano na gazeti la ijumaa duh huyu mtoto mapema hivi ameanza kujikombaa kwa mheshimiwa Sugu...