Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,602
- 20,098
Yes since Wateja wangu wengu ni wa maofisiniKwahiyo leo hujaenda kwenye shughuli zako?
Yes since Wateja wangu wengu ni wa maofisiniKwahiyo leo hujaenda kwenye shughuli zako?
Ninavyompenda na kumjali,all sacrifice is enoughukipewa nafasi ya kumfanyia jamaa kitu cha kumbukumbu hadi aingie kaburini anakumbuka utamfanyia nini>?
Mnaopenda Mahabati njooni muuize nisije mboa mrembo bure, mi naishia hapa.
Hata sijaboreka,zaidi zaidi nafurahi like najikumbusha baadhi ya vitu maishani mwanguHapana sijawahiNi wewe huwa unakuja pale The Pearl Ubungo kuswim mara kwa mara?
Wewe kila mtu baby wako.
Ha ha ha haSitauliza swali ila kama utapenda nam niwe mteja wa biashara yako nitafurah
we bachelor au umeoa?? Tuanzie hapoBora ionekane sijiamini,kuna watu watanijua ambao ni family to me.Mbona unaogop kutaja jna la chuo? huon hii ni ishara ya kutokujiamin??
Sent from my Android phone
Bothunawashaurije vijana...wajiajiri au waajiriwe
Sent from my Android phone
mbona unatoa majibu kwa kifupi sana?Wa 4 kati ya watoto wa 4
Mimi ni mchele mchele kweli karibu unile!Nina wasi wasi na mleta mada kama sio mwanamke bhasi huyu jamaa atakuwa mchele mchele maana sio kwa maswali haya ya upuuzi wa mwisho duniani...
Wala Usijaki,kukosolewa ni part ya maisha.Nimerudi kwa hili.
Maserati pesa sio Asset but ni kitu inazalisha Assets. It's like fuel $ products in assets
Assets mf. ni real estate prs, working machines, running org, Industries etc etc.
Samahani kwa lkn kukukosoa.
Si kweli,inategemea na magement tu.
Ulitaka nisemeje?mbona unatoa majibu kwa kifupi sana?