Dibo10
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,328
- 1,631
hahah ukhty bwana,akiandika maneno mengi either amefurah au amechukiaAchana na huyo muosha rungu mpenz
hahah ukhty bwana,akiandika maneno mengi either amefurah au amechukiaAchana na huyo muosha rungu mpenz
Jina lang zesh kama lilivyo hapo .....ni mzaliwa wa kilwa na ni mmatumbi original .....nimesoma kilwa na baadae dar o level mpk chuoTupe historia yako kwa ufupi
DJ sepetu
mkuu unataka tuliamshe kama bikira latifa na richaabra?
23 yrs oldUna miaka mingapi mtoto wa kimatumbi?
DJ sepetu
Bado mdogo sana nimekuzid 2
Kiwango chako cha elimu kip
DJ sepetu
elimu yang ni diploma tu jomon ha hahutafuti mchumba?![]()
![]()
elimu yang ni diploma tu jomon ha ha
Personal secretaryUkumbuke Ku like
Fani gani hiyo dip
DJ sepetu
Salama mamyPoa kipenzi za wewe

Sipendi kujichosha siwajuahahah ukhty bwana,akiandika maneno mengi either amefurah au amechukia
nataka kuvua na kufuga samaki katika kisima cha moyo wako
Kasoro mimi tuWarembo wako wengi ni vidume



Best una roho mbaya kweli,hata hatuambiani kumbe mambo tayari huku.Salama mamy