LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 19,977
- 37,879
Heshima mbele wakuu, naomba mnisaidie kujua jina la huyu mrembo ambaye picha zake zinaonekana hapa. Kwa muda mrefu sasa nawaona wadada wa kibongo wakitumia picha yake kama profile pics zao. Please kwa anaye mfahamu huyu mrembo naomba anisaidie kumfahamu.