Wilbert1974
JF-Expert Member
- Feb 10, 2011
- 1,632
- 481
Ipi hiyo?Isije kuwa alifanya kusudi ili kutangaza 'biashara' fulani fulani!!
Ahahah mkuu mwenye macho haambiwi tazamaa..Ipi hiyo?
Iweke wazi tuijue hapa labda tunaweza kuwa maAGENT eeh!
Du! Umesababisha nirudi kwenye picha na kuelekeza macho ambako sikuelekeza awali LOLIsije kuwa alifanya kusudi ili kutangaza 'biashara' fulani fulani!!
bora nguo ilikuwa ndefu maana wengi wao siku hizi hawavai ile ya ndani..
bahati mbaya tuu..
Mkuu Ndibalema, na Mkulu wa Magogoni anapodongoka ovyo anatangaza biashara gani. Wekeni picha zake tuone.Isije kuwa alifanya kusudi ili kutangaza 'biashara' fulani fulani!!