Mrembo by nature utaniacha lini..?

Mrembo by nature utaniacha lini..?

Erickb52 usije kuwa kama manoah juzi amenitoa out na makeke kibao, oohh live coverage tunafika huko hatamaji ya KLM yale madogo alishindwa kununua....kama huniamini muulize mwenyewe
Hahahahahaaaaaa aiseeee ni baraaaa
Kutoka Full Coverage hadi Error in Connection lol si mchezo! manoah nahisi alikupeleka kwenye Avatal yake (Makaburini) Kule hakunaga network
 
Last edited by a moderator:
Ila nilimsamehe bure, wala sikumbuki tena kama mtoko ulikuwa kavu kavu
Hayo ya manoah achana nayo kwangu mi ni b52 yan ni kombora la kimataifa...usiwaze makaburi njoo upate raha mtoto mzuri!
Come bby come uone malavidavi katika mwanga bora
 
Last edited by a moderator:
Hayo ya manoah achana nayo kwangu mi ni b52 yan ni kombora la kimataifa...usiwaze makaburi njoo upate raha mtoto mzuri!
Come bby come uone malavidavi katika mwanga bora

Ila mimi siku tukitoka lazima niambatane na shosti zangu kama 7 hivi, kwa sasa hivi sitawataja nikiwataja utaniogopa bure....
 
Ila mimi siku tukitoka lazima niambatane na shosti zangu kama 7 hivi, kwa sasa hivi sitawataja nikiwataja utaniogopa bure....
Yan we beba hadi hausi geli wako mi sina shida na ukikutana na class mate wako pia beba ambatana nao!
 
Subiri kidogo mpendwa wangu...tutajua tu huyu kijana kakutwa na ugonjwa gani...

Fanya uniokoe mikononi mwa hawa watu, umewaona lakini? mmoja alinidanganyaa tunaenda dubai kwa wiki tatu lakini nimestuka kwenye mtoko wa juzi hata maji sikununuliwa.
 
Tumepishana mimi niko kwa figganigga
sasa jamani manoah si atajinyonga bure?. Mimi nilinyamazia ili aendelee kujipa matumaini. siku zote ukitaka kugombana na mtoto acha akuanze kukuchokoza, akikuchokoza unachuma fimbo unamchapa halafu unamwambia akalale. mia
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa! Ulijipanga kwenda kumfirisi ee? Ukashinda na njaa ukijua kwenye mtoko utafidia pole aisee mara ya pili bora ujitokee out na baba yake mzee bishanga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom